Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Kwani Ccm haina wakatoliki? Au Ccm ni dini, Nyumbu hamna akili na wewe umeona hii ni hoja ya maana sana kuileta.

Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
Huyo dada sio makatoliki kwishaaaaa
 
Aibu kubwa sana kwa watanzania. Hivi hawa jamaa wanatuonaje raia wa hii nchi.
 
Jina; TAWFIQ MCHUMULA
dini; MUISLAM

Jana aliimba mwamba mwamba Yesu ni mwamba.
 
Attachments

  • Screenshot_20260106_123850_Chrome.jpg
    Screenshot_20260106_123850_Chrome.jpg
    58.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260106_123857_Chrome.jpg
    Screenshot_20260106_123857_Chrome.jpg
    84.8 KB · Views: 19
Leo mmevuka "RED LINE". Hivi katibu wa UVCCM hawezi kuwa MKATOLIKI? Au mwana CCM hawezi kuwa mkatoliki? Au mkatoliki mpaka awe na degree ndio aweze kutoa maoni yake. Sadaka zao wote mnazitaka na kuzipokea kila j,pili, bila ya kujali kama anaweza kuandika au sio.
Acheni ubaguzi, au mnaonyesha sura yenu kamili.-Ubaguzi ni hatari, tena mnabaguana wenyewe kwa wenyewe. Na hapa nataka wakatoliki wote walilaani hili kwa nguvu zote.
Mnachotaka ni kumteka huyo dada, na kuwalaumu wengine. Huyu dada ana haki ya kutoa maoni yake hata kama hajasoma. Tahadhari: bado ana haki ya kuhudhuria kanisani bila kunyanyaswa, kutukanwa wala kufedheheshwa. Tunafuatilia kwa makini.
Kanisa gani anasali huyo dada?
 
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

Hapa kuna swali nataka kuuliza kwani Mkatoliki hawezi kuwa CCM au ? Au anaruhusiwa kuwa CHADEMA tu ?
 
Clusters kibao kuthibitisha Hawa malofa Intents na Accusations zao ni za mchongo.
Njaa mbaya Sana.
 
Huyu anaijua Rc? Mpumbavu tuQUOTE="McLaren, post: 55515329, member: 799609"]
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

[/QUOTE]
 
Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha
When a mission fai

When a mission fail, the next is to clear your footprint. Adui mkubwa wa huyu dada kwa sasa ni yule aliemtuma.
 
Chama changu kimeishiwa akili na maarifa kabisa. Kiko ndembendechali chali cha mende uchi wa mnyama.

Viongozi wana macho makubwa ila hawawezi muona hata tembo mbele yao. Haya maigizo hata chekechea hawezi fanya.

Aisha Kondo asiyejua hata ishara ya msalaba leo anawekwa frontline kwenda kwa balozi wa papa nchini.
Itakuwa Kuna Albadili au Kunuti imesomwa sehemu mana Sio PM Wala wanachama wote wakipewa maiki ni kutoa maboko tu
 
Wakuu,

Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.

Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.

Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?

Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION mlimuamini vipi mkampa hadi nafasi ya kuzungumza kwenye propaganda yenu?

Mwaka una siku 6 tu ila CCM msshaanza kujidhalilisha namna hii

😁 😁 ila mboga mboga
 
1000653088.jpg
1000653087.jpg
huyo bwana anaitwa Taufik Mchumula jana nae alikua mkatoriki ila wao walijitambulisha kama "waroma"
 
Hizo riakshen unazotambia kuna wenzako wamezikusanya humu zaidi yako just kuandika styles za kufanya ngono na upuuzi kama huo so hata unazoona umepewa hapo wamekupa mnaofanana akili.

Kuhitimisha tu like hazi-justfy akili za mtu,tutusa unapewa mwenye ufahamu kamili nae anapewa.
Baki kwenye context we kuku mlemavu wa akili,reactions=kupuuzwa!?
 
Back
Top Bottom