Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Ukweli wazidi kujulikana. Dada aliyejitambulisha kama Mkatoliki ni Katibu wa UVCCM Tawi la Dovya

Kwahiyo mtu hawezi kuwa mkatoliki na kuwa CCM simultaneously? Mpango alikua dini gani? Nchimbi ni dini gani? Nyerere? Magufuli? Mhagama? Siwatetei hawa wakatoliki feki ila kuwa CCM sio sababu ya kutokuwa mkatoliki. Tumieni akili.
Wewe ushasema ni wakatoliki feki, which is obvious, mtoa mada kaenda extra mile kuonesha political affiliation yao hawa feki ili ujue nani na nani wako nyuma yao.
 
Acha ujinga wewe , tumefiwa na ndugu zetu wapo zao majumbani , usicheze na hasira za watu kabisa na ujambazi wa kihuni uolifanyika

Kwa akili yako raia wa kawaida anawezaje choma sheli wewe? unajua huo mlipuko wake?
Vizuri kama unajua raia wa kawaida hawezi china sheli,na si sheli tu hata namna mashine za mwendokasi za ku-punch kadi zimeonekana kuharibiwa kitaam,hili hata askari Iran wanakumbana nalo kwenye maandamano
Hao ni watu trained,na nani!?..tuwaulize wanaotetea
 
Ni wale walio watuma wakatoliki wa mchongo
 
Back
Top Bottom