Yuko vizuri huyo wakili wa YangaKasema kufikia wiki ijayo mtapata majibu punguzeni wasiwasi
Jengo la Yanga jangwani lilijengwa na mshabiki namba moja wa Yanga Raisi wa Zanzibar marehemu sheikh Karume
Alipokufa Yanga wakampa mkewe mama Fatuma Karume kuwa mmojawapo wa baraza la wadhamini
Hiyo kesi kuna hao mawakiki wajinga walifoji sahihi ya mama Karume kuwa aliwapa power of Attorney wafungue kesi ya kumtoa Engineer Hersi
Mama Karume kakataa kuwa hajawahi kutoa power of attorney kwa hao wajinga au yeyote kumruhusu amwakilshe kesi yeyote ya kuhusu Yanga .
Sasa hivi wao wakienda mahakamani mama Karume ambaye yuko tayari kwenda mahakamani kusema hizo sahihi walifoji na kufoji kuwa ohh kawapa power of attorney hiyo kesi wataiweza? Watatoboa?
Mama Fatuma Karume kakataa kuwa hajawahi mpa yeyote power of attorney kufungua kesi kwa niaba yake yeye kama mmojawapo baraza la wadhamini wa Yanga na yuko tayari kuwaburuza mahakamani kwa kufoji documents na sahihi yake kuwa kawapa power of attorney wafungue kesi kwa niaba yake
Wanasheria yanga wako fit tena mno
Hao mawakili wahuni hawatoboi na waweza futiwa uwakili wao