Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
-
- #41
kisutu ni karibu sana na yanga. lastly barua ya kuitwa mahakamani kapewa nani??Sasa kama watu wamegushi sahihi za viongozi wa yanga unategemea mawakili wa yanga wataota kwamba Kuna kesi???
Acha kuogopa cv za here say..... his accomplishment ni kuwa katika jopo la lawyers wa bono. other than that anaitia yanga madeni tu.Salmon Patrick ni kati ya wanasheria vijana wenye vipaji vya hali ya juu hapa bongo, jaribu kutafuta taarifa zake
Unayo nakala ya hukumu au umesikiliza porojo tu za watu??Yuko vizuri huyo wakili wa Yanga
Jengo la Yanga jangwani lilijengwa na mshabiki namba moja wa Yanga Raisi wa Zanzibar marehemu sheikh Karume
Alipokufa Yanga wakampa mkewe mama Fatuma Karume kuwa mmojawapo wa baraza la wadhamini
Hiyo kesi kuna hao mawakiki wajinga walifoji sahihi ya mama Karume kuwa aliwapa power of Attorney wafungue kesi ya kumtoa Engineer Hersi
Mama Karume kakataa kuwa hajawahi kutoa power of attorney kwa hao wajinga au yeyote kumruhusu amwakilshe kesi yeyote ya kuhusu Yanga .
Sasa hivi wao wakienda mahakamani mama Karume ambaye yuko tayari kwenda mahakamani kusema hizo sahihi walifoji na kufoji kuwa ohh kawapa power of attorney hiyo kesi wataiweza? Watatoboa?
Mama Fatuma Karume kakataa kuwa hajawahi mpa yeyote power of attorney kufungua kesi kwa niaba yake yeye kama mmojawapo baraza la wadhamini wa Yanga na yuko tayari kuwaburuza mahakamani kwa kufoji documents na sahihi yake kuwa kawapa power of attorney wafungue kesi kwa niaba yake
Wanasheria yanga wako fit tena mno
Hao mawakili wahuni hawatoboi na waweza futiwa uwakili wao
kazi ya lawyer ni kunavigate through loop holes na siasa. he is paid to lob the politics and law loop holes. na sio kushindwa kesi. kama anashindwa kesi no point of having him.Hawa jamaa wanakurupuka hawamjui vizuri Simon. Kama ni kesi ya Morison Ile ilikua na siasa nyingi kuanzia TFF,Simba na hata yanga kwenyewe na wakati huo mwakilishi alikua Mgongolwa. Hizi za wachezaji kudai wakili hawezi kufanya lolote hata vilabu vikubwa vinadaiwa na kufungiwa. Kesi ya Fei mbona alishinda? Yani hawa ni makolo hawana lolite
Kuna changamoto za kitaasisi hapo Yanga. Ndio maana Waziri wa michezo Dr. Ndumbaro alisema wiki zilizopita kuwa Simba ndio Club pekee yenye mfumo mzuri wa uongozi.sio mahakama.
wakili yanga amana. mwaka mzima kesi ipo na verdict ipo inajulikana leo??
wakili alikuwa wapi??
tena kisutu π€
kisutu na yanga headquarters una tembea.
hakimu anaweza akawa yanga au simba pia??? why 1 year verdict is not known within the institution.
these two clubs are all the sameKuna changamoto za kitaasisi hapo Yanga. Ndio maana Waziri wa michezo Dr. Ndumbaro alisema wiki zilizopita kuwa Simba ndio Club pekee yenye mfumo mzuri wa uongozi.
Nampongeza Engineer Hersi maana anajua kuchota akili za wanaYanga. Hata hili linaloendelea nadhani alikuwa analifahamu ndio maana akatengeneza saga la Aziz Ki ili kuwaaminisha wanaYanga kuwa anachapa kazi na aendelee kuaminiwa licha ya changamoto za kikatiba.
Ndio lakini kuna kuzidiana. Yanga imejaa janjajanja nyingi kwenye managementthese two clubs are all the same
all the same. simba just last month mambo yalikuwa hivi hiviNdio lakini kuna kuzidiana. Yanga imejaa janjajanja nyingi
Eti siasa nyingi ππ kwahiyo CAS nao walifanya au waliendeleza siasa ushindi akapewa BM3 na kumlipa mkalipa ππHawa jamaa wanakurupuka hawamjui vizuri Simon. Kama ni kesi ya Morison Ile ilikua na siasa nyingi kuanzia TFF,Simba na hata yanga kwenyewe na wakati huo mwakilishi alikua Mgongolwa. Hizi za wachezaji kudai wakili hawezi kufanya lolote hata vilabu vikubwa vinadaiwa na kufungiwa. Kesi ya Fei mbona alishinda? Yani hawa ni makolo hawana lolite
Huyo waziri si Kolo lia lia mwenzenu, ulitegemea asemaje!Kuna changamoto za kitaasisi hapo Yanga. Ndio maana Waziri wa michezo Dr. Ndumbaro alisema wiki zilizopita kuwa Simba ndio Club pekee yenye mfumo mzuri wa uongozi.
Nampongeza Engineer Hersi maana anajua kuchota akili za wanaYanga. Hata hili linaloendelea nadhani alikuwa analifahamu ndio maana akatengeneza saga la Aziz Ki ili kuwaaminisha wanaYanga kuwa anachapa kazi na aendelee kuaminiwa licha ya changamoto za kikatiba.
Pamoja na hivyo sikiliza hoja yake uipime nje ya simba na yangaHuyo waziri si Kolo lia lia mwenzenu, ulitegemea asemaje!
Niliwahi kufanya kazi serikalini, kesi nyingi serikali ilikuwa inashindwa kutokana na wanasheria wake kutohudhiria mahakamani. Unakuta kesi inasikilizwa miezi kadhaa wanasheria wa serikali hawaendi mahakamani mpaka inabidi wakati mwingine wanapigiwa simu na mahakama kugombezwa.
Hata huyu wa Yanga ana uzembe kama wanasheria wa serikali, lazima alikuwa anajua kesi inaendelea. Nahisi alitoa ushauri mbaya kwa viongozi kuipuuza kesi hiyo. Lakini binafsi kinacho nishangaza zaidi toka mwezi June wana nakala ya hukumu leo ndipo anasema wanajipanga kwenda mahakamani kuomba.... Nahisi hata hizi habari wamezilikisha Yanga ili kupata public sympathy baada ya kuona mambo yanaenda vibaya.
Pamoja na udhaifu wa mwanasheria wa Yanga katika hili mzee Magoma na Mwaipopo ni wapumbavu kupindukia kwa sababu they have nothing to gain hata kama hukumu itatekelezwa, labda kama wanapewa hela na upande wa pili. Zaidi la kuwakuta litawakuta aidha kwa mikono ya wanayanga ama serikali, maana wanayanga na serikali hawatakubali kurudishwa nyuma.
Jamaa akimaliza hii kesi. apaki mabegi yake asepe.Eti siasa nyingi ππ kwahiyo CAS nao walifanya au waliendeleza siasa ushindi akapewa BM3 na kumlipa mkalipa ππ
Muda mwingine unyamaze tu unaonekana zumbukuku
Unatafuta kulogwa?Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga.
Kesi Ngumu
Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo. Watu wanadai kwamba amepoteza kesi zaidi kuliko alizoshinda. Incompetence ya hali ya juu.
Uhusiano wa Kibinafsi na Hersi.
Huyu ni rafiki wa engineer ila rais wa Yanga anapaswa kuepuka kuajiri marafiki. nafikiri kuwa uhusiano wa kibinafsi unaweza kuingilia kati na kuharibu maamuzi ya kitaalamu. Kuajiri kwa msingi wa urafiki pekee kunaweza kusababisha matokeo duni katika masuala ya kisheria.
Safari ya Simon Patrick katika Yanga inaonyesha ugumu wa kazi ya kisheria. Yanga inaendelea kukabiliana na changamoto za kisheria, nyingi na kupoteza case nyingi.
Simon Patrick aachane na yanga, yanga inapaswa kuzingatia uwezo badala ya ukaribu wa kibinafsi anapofanya maamuzi ya kuajiri, ili kuhakikisha mafanikio.
Wafanye yao waache umbea na kiherehere ππ
Kweli kabisa..Ona hili la KagomaSimon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga.
Kesi Ngumu
Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo. Watu wanadai kwamba amepoteza kesi zaidi kuliko alizoshinda. Incompetence ya hali ya juu.
Uhusiano wa Kibinafsi na Hersi.
Huyu ni rafiki wa engineer ila rais wa Yanga anapaswa kuepuka kuajiri marafiki. nafikiri kuwa uhusiano wa kibinafsi unaweza kuingilia kati na kuharibu maamuzi ya kitaalamu. Kuajiri kwa msingi wa urafiki pekee kunaweza kusababisha matokeo duni katika masuala ya kisheria.
Safari ya Simon Patrick katika Yanga inaonyesha ugumu wa kazi ya kisheria. Yanga inaendelea kukabiliana na changamoto za kisheria, nyingi na kupoteza case nyingi.
Simon Patrick aachane na yanga, yanga inapaswa kuzingatia uwezo badala ya ukaribu wa kibinafsi anapofanya maamuzi ya kuajiri, ili kuhakikisha mafanikio.