Ulaji huu wa mafuta ni kawaida?

Ulaji huu wa mafuta ni kawaida?

Nimeshauriana na fundi niiache oil iliyopo kwakuwa toka nimeweka haijafika km 1000.japo nimepewa maelezo tofauti,na mafundi na wauza oil tofauti.
Service ikifika nitabadili na kuweka hiyo 5w30.nitaleta mrejesho
Mimi sijui fundi wangu anaweka oil ya aina gani? Ingawa aanza kuifanyia service yeye naona gari nzito na matumizi ya mafuta yapo juu. Nimesoma kwenye manual ya gari wameshauri kutumia 5w- 30. Nami nangoja kilometa zisogee nibadilishe niweke recomended
 
rudia test yako jaza tena futa then hesabu km zilizoenda mpaka taa I wake tena mara kadhaa ndo upate majibu sahihi
 
Aisee ni kua makini maduka mengine ni wezi balaa,kuna maduka hapa mjini wanauza hio 5w30 lita 4 kwa 60,000 lkn kuna maduka ya wahindi wanauza lita 1 ya 5w30 kwa 35,000 maana yake lita 4 hapo unaongelea kwny 140,000.
Nunua maeneo ambayo yanaviwango. Watu wanajaza oil feki kwenye makopo original, watch out! Bure gharama. Kama ni total nenda kwenye vituo vyao vya mafuta au kwa dealer na kama ni Castrol nenda vituo vya mafuta vya puma
 
Ni kweli kabisa mkuu hata sisi wauzaji wa genuine tunapata shida sana maana unamwambia mtu bei halisi ya total 5w30 ni 60,000 kwa dumu la litre 4 na 5w30 castrol ni 100,000 kwa dumu la litre nne atakubishia hadi apasuke huku akicompare na wengine ambao wanaotumia madumu Yale Yale kujaza oil ambayo sio na kuuza kwa bei ya chini kaeni mkijua ukienda dukani ukakuta muuzaji wa oil anauza zile oil za kupima maarufu international mzee jua oil za kampuni tajwa hapo juu utanunua madumu tu ila kilichomo ndani ni hizo oil nyingine ambazo hazina ubora so kuwa makini sana wauzaji wengi wa genuine oil hawaziweki hizo madukani kwao
 
Kuna maswali ya msingi mtu unapaswa kujiuliza Ama kuyafahamu wakati mtu unataka kununua oil ya gari yako na siyo kujifunga akili kwenye upande mmoja tu wa kuangalia fuel economy ya gari wakati unapelekea gari kwenye costly repairs in long run:-
1)Mileage ya gari husika-20W-50 ni oil iliyotengenezwa kwa ajili ya high mileage cars sababu kubwa ni viscosity yake ambapo kiuhalisia engine ikitembea sana huwa inalika components nyingi.
2)Ubora wa oil yenyewe hasa unapoinunulia.
NB-Gari lolote lile Kadri linavyozidi kutembea(Umri kuongezeka) fuel economy hupungua.
-Kwa gari lenye high mileage ukitumia hiyo 5W oil economy ya mafuta inshort run itaongezeka;ila in long run tegemea engine components kulika mnoo!
Therefore mtu unapaswa kuwazua why 20W-50 for high mileage cars?
 
Kwny vituo vya Total 5w30 unaipata kwa 55,000.
Nunua maeneo ambayo yanaviwango. Watu wanajaza oil feki kwenye makopo original, watch out! Bure gharama. Kama ni total nenda kwenye vituo vyao vya mafuta au kwa dealer na kama ni Castrol nenda vituo vya mafuta vya puma
 
Leo nimeikumbuka hii thread . Baada ya kubadilisha oil. Gari inakula mafuta ni hatari acha kabisa.
 
Kuna maswali ya msingi mtu unapaswa kujiuliza Ama kuyafahamu wakati mtu unataka kununua oil ya gari yako na siyo kujifunga akili kwenye upande mmoja tu wa kuangalia fuel economy ya gari wakati unapelekea gari kwenye costly repairs in long run:-
1)Mileage ya gari husika-20W-50 ni oil iliyotengenezwa kwa ajili ya high mileage cars sababu kubwa ni viscosity yake ambapo kiuhalisia engine ikitembea sana huwa inalika components nyingi.
2)Ubora wa oil yenyewe hasa unapoinunulia.
NB-Gari lolote lile Kadri linavyozidi kutembea(Umri kuongezeka) fuel economy hupungua.
-Kwa gari lenye high mileage ukitumia hiyo 5W oil economy ya mafuta inshort run itaongezeka;ila in long run tegemea engine components kulika mnoo!
Therefore mtu unapaswa kuwazua why 20W-50 for high mileage cars?
High mileage inaaniza km ngapi?
 
Back
Top Bottom