Mimi sijui fundi wangu anaweka oil ya aina gani? Ingawa aanza kuifanyia service yeye naona gari nzito na matumizi ya mafuta yapo juu. Nimesoma kwenye manual ya gari wameshauri kutumia 5w- 30. Nami nangoja kilometa zisogee nibadilishe niweke recomendedNimeshauriana na fundi niiache oil iliyopo kwakuwa toka nimeweka haijafika km 1000.japo nimepewa maelezo tofauti,na mafundi na wauza oil tofauti.
Service ikifika nitabadili na kuweka hiyo 5w30.nitaleta mrejesho