tupe faida yakeKitunguu maji kinafaida nyingi mwilini hasa pale unapokila bila kukiosha,si lazima ukile peke yake lakini hata ukitengeneza kachumbari we katia tu kula hivyo hivyo usiogope kunuka mdomo we hali afya yako,au kwa mfano unakula ubwabwa kata vitunguu vyako kwa mviringo mzuri kisha vipambie kwa kuvizungushia juu ya ubwabwa kisha mkaribishe mgeni lazima akasimulie
Hebu mpigie simu huyo aliyekualika,na muulize kwamba ilikuwaje siku ile baada ya kumaliza kula,mkala vitunguu peke yake na si kachumbali?.Halafu njoo utujuzejana nilikaribishwa kuungana na familia ya rafiki yangu mmoja kwa ajili ya chakula cha mchana vitu vilivyo andaliwa mezani ni pamoja na sahani iliyokua na vitunguu maji vikiwa vimemenywa na kukatwa sikua nimeelewa dhumuni la kuwepo vitunguu vile.baada ya kumaliza kula sasa ndipo walianza kila mtu kutafuna vile vitunguu sasa kwangu ilikua swala geni nikashindwa nikihofu naweza kurudisha chenchi.
naomba wajuzi mnijuze nini faida yake kaa mkubwa mzizi mkavu na wengine karibuni.