doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
Wadau ninakimeo hicho ambacho nilikiagiza mwenyewe toka Japan Mtumbani.
Tatizo kuu toka siku ya kwanza ni fuel consuption yake yaani nadhani lita 1 kwa km 6.
Nimekipeleka kwa watalaam wa mtaani wamesha safisha fuel pumb, badiri plug, safisha Nosel, badili Gearbox oil na service zingine kama kawaida lakini wapi.
pia Speed maximu you can run 120. Kuipata 80 nishida. RPM ikifika 3 inadomdoka kurudi chini ya 2 gafla hata kama unakanyaga mafuta. Odometer nimechack iko poa.
Nimesha check watu wa computer diagnostic hakuna tatizo.
Nikasema labda natembelea 4w muda woote laki wapi.
Ila Gari inaguvu sana tu Matopeni na Mchangani Naburuza tu nikitupia 4wd.
My Problem Fuel consumption is not propotion to Speed. Pia nimesha google sana ushauri mwingi labda sensors au leakage.
Ushauri na Utatuzi unakalibishwa