doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,706
- 2,861
- Thread starter
- #21
Umechek boya moja (sensor ya kucontrol hewa), nayo inavyoanza kuchoka huleta shida kwenye Suzuki. With time linaweza kuzimika kabisa. Nenda pale Temeke opposite na Hospital kuna Mpemba mmoja anajua tatizo la hilo gari anaweza kukusaidia,moja kwa ushauri kutokana na uzoefu wake,lakini pia anazo spea nyingi za gari hizo.
Thanks ntalifanyia kazi kesho. Nakurudisha mlejesho.