kisimbamiti
Member
- Aug 23, 2016
- 8
- 3
Mkuu nishauri na Mimi.Nina gari yangu Mazda primacy 2003 1880cc niliiagiza tangu 2013 na fuel consumption yake ilikuwa about 11 km per Lt.lakn mwanzoni mwa mwaka huu ilipata ajali ikakaa gereji miezi kama 6 na nimeitoa gereji mwezi wa sita mwishoni nimeona consumption ya fuel imekuwa about 7 km per Lt.naomba unipe ushauri inawrza kuwa nini?.kuna fundi alisema tubadili plugdoup fanya hivyo nlivyokwambia ulete mrejesho hapa
Mkuuu mrejesho vp..au hujufanikiwa kutibu tatizo...natanguliza shukrani..Mkuu cc CHAZA Nimefika eneo la tukio na nimempata Mhusika. Maelezo haya yamekuwa precise. Ntarudisha mrejesho baada ya kazi. Naambatanisha na picha kwa msaada kwa wengine. Ukisimaa kwenye duka lake ni sawa kabisa na barabara (temeke ) inayoshuka kwenda geti la hospitali ya Temeke au Soko la Temeke Sterio. kama unatoka Usalama Kituo cha polisi temeke ni mkono wa kushoto. Maduka yalio sambamba na bustani ya miti.
View attachment 533552
View attachment 533553
Sawa sawa...bado nafanyia kazi. Ntarudi tu.