Ulaji wa mafuta wa coaster ni lita ngapi?

Kaijaribu kwenye njia ambazo si za milima sana then uone ulaji wake....

Unaweza ipeleka kwa fundi wakachokonoa kumbe tatzo mnapita rough road na milima mingi hapo lazma wese liende.....

Wanaotoa ushauri wengi wanashare experience za kwenye lami zisizo na milima wala rough...
 
Sure njia ya babati arusha ina miinuko. Ika haina rough road
 
113 360 yenye abiria ikiwa inaenda mwanza ndo mileage yake hio
 
Land Cruiser ya 1HZ inatumia mafuta kiasi gani nayo?

Je, Coaster ya 1HD-FTE nayo ulaji wake ukoje?
 
Mkuu iyo 4kms per litre ni ulaji wa basi aina ya Youtong f12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…