Ulaji wa mafuta wa coaster ni lita ngapi?

Kaijaribu kwenye njia ambazo si za milima sana then uone ulaji wake....

Unaweza ipeleka kwa fundi wakachokonoa kumbe tatzo mnapita rough road na milima mingi hapo lazma wese liende.....

Wanaotoa ushauri wengi wanashare experience za kwenye lami zisizo na milima wala rough...
 
Sure njia ya babati arusha ina miinuko. Ika haina rough road
 
Je coaster ikiwa na abiria na mzigo inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 4 je ni sawa. Aina ya coaster ni 1hz. Ina miaka 2 tu.

Na je ulaji wa kawaida wa mafuta ni kiasi gani. Ikiwa na mizigo na watu.??

Coaster hiyo inafanya kazi babati arusha..

Na je kwa ulaji huo ikageuzwa daladala ulaji utapungua au itaongezeka??
113 360 yenye abiria ikiwa inaenda mwanza ndo mileage yake hio
 
Land Cruiser ya 1HZ inatumia mafuta kiasi gani nayo?

Je, Coaster ya 1HD-FTE nayo ulaji wake ukoje?
 
Mkuu iyo 4kms per litre ni ulaji wa basi aina ya Youtong f12
Je coaster ikiwa na abiria na mzigo inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 4 je ni sawa. Aina ya coaster ni 1hz. Ina miaka 2 tu.

Na je ulaji wa kawaida wa mafuta ni kiasi gani. Ikiwa na mizigo na watu.??

Coaster hiyo inafanya kazi babati arusha..

Na je kwa ulaji huo ikageuzwa daladala ulaji utapungua au itaongezeka??
 
Hakuna 1hz kwenye Prado..!
Well, its a 2TR...hapo imekwenda hadi 4.8km/l
20220624_171521.jpg
 
Back
Top Bottom