SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kumekuwepo na madai kuwa ulaji wa ugali hudumaza akili. Madai haya yana ukweli kiasi gani?

02692B18-05FE-4851-857F-7A5DA6E174CD.jpeg
 
Tunachokijua
Ugali ni chakula kinachotumika sana Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa mujibu wa utafiti wa Onu Okpa et al (2019), “Sub-Saharan African Maize-Based Foods - Processing Practices, Challenges and Opportunities” mahindi huchangia 30% ya nishati za vyakula wanavyotumia watu wa ukanda huu kila siku.

Kwa mujibu wa utafiti huu, kila mtu anayepatikana Kusini mwa Jangwa la Sahara hutumia wastani wa kati ya gramu 52-450 za mahindi kwa siku. Ni chanzo kikuu cha ugali unaotumika kila siku kwenye nchi hizi. Kwa Tanzania, 64% ya wananchi wake hula chakula hiki walau mara 5-7 kwa wiki.

Takwimu hizi zinaonesha kuwa ugali ni chakula kinachotumika sana, pengine kuliko aina nyingine za vyakula. Baadhi ya watu huutengeneza kwa kutumia unga wa mhogo, mtama, ulezi pamoja na aina zingine za nafaka.

Bila kujali tofauti ndogo za mgawanyiko wa virutubisho, nafaka zote husifika kwa kuwa na kiasi kikubwa cha nishati na wanga, pia kiasi kidogo cha madini na vitamini muhimu kwa afya.

Kuhusishwa na udumavu wa akili
Kitaalamu, udumavu wa akili husababishwa mambo mengi ikiwemo baadhi ya changamoto za kijenetiki mfano Down’s syndrome, kukosa hewa ya kutosha wakati wa kuzaliwa, maambukizi makali ya homa ya uti wa mgongo, utapiamlo, matumizi ya baadhi ya madawa na pombe wakati wa ujauzito pamoja na sababu zingine siziso wazi sana.

Kwa kurejea mgawanyiko wa virutubusho vinavyopatikana kwenye nafaka zinazotumika kutengenezea ugali, hakuna uhusiano wa moja kwa moja unaoweza kutajwa, au pia kuhusishwa na kusababisha udumavu wa akili kwa watu. Virutubisho na madini yake havina athari hasi kwenye afya ya ubongo.

Pia, JamiiForums imezungumza na wataalamu wa lishe ambao wamethibitisha kuwa chakula hiki ni salama, hakiwezi kusababisha madhara tajwa.

Hivyo, JamiiForums imebaini kuwa madai haya hayana ukweli uliojengwa kwa hoja za kisayansi. Ni uzushi usio na uthibitisho wa tafiti au takwimu.
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli

Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk. Hawana akili lakini katu huwakuti wakila ugali maana ni chakula kisicho na nutrients zozote mwilini.

Hapa Tanzania jamii na makabila makabila makubwa hatupendelei ugali mfano sisi watu wa mkoa wa Kagera, Moshi(wachaga) na Mbeya hawali ugali lakini Tanzama mikoa duni kama Dodoma, Singida, Lindi, na watu wa Pwani wala ugali

Wenzetu wamataifa mengine wana afya afya na wala hawajui ugali ni nini Tazama wenzetu kutoka west Africa hawali maugali kama Watanganyika wana body zimejengeka.

Waganda, Wakenya, Wanyarwandwa hawali ugali. Mtu ukila ugali kwanza unalewa kama umepiga jibapa la Konyagi masaa mawili, ukila ugali wa Mara digestion ni ngumu mwilini chakula hakushuki hupati choo siku mbili, sasa hicho chakula au uchafu tu.

Wazungu na warabu wako vizuri kiafya wala hawayajui maugali ni nini wao wanajilia ngano, wali, nyama na maziwa, sisi Watanganyika kutwa usiku tunakula maugali na milenda kama tumerogwa

Madhara ya ugali kwa watu wetu, tumekosa washiriki wazuri kwenye michezo yani leo umpeleke Kibwana amkabe Sadio Mane AFCON haiwezekani.

Watoto hawana akili mashuleni wapo tu wamechoka yaani wamelewa chakali shuleni hawaewi kisa kula maugali.

Miili kama midogo kama digidigi unakuta mwanaume Dar anavamiwa na panya road anajificha kisa kula maugali

Sipendi ugali nakushauri usije ukala haya sumu ya akili na mwili ugali ni sumu kali

Nikiwa Rais nitapiga marufuku ugali

#kataa ugali Mtanganyika
Wewe kula unachotaka, haipo sheria inakuzuia, yaan kula hata mavi, hutakuwa na hatia. Usitweze chakyla ambacho wengine wanakithamini. Kwanza hii sio hoja, labda umekosa kazi ya kufanya
 
Wewe kula unachotaka, haipo sgeria inakuzuia, yaan kula hata mavi, hutakuwa na hatia. Usitweze chakyla ambacho wengine wanakithamini. Kwanza hii sio hoja, labda umekosa kazi ya kufanya
Huyu ameridhika kushea sabuni na mume wa dada yake
 
#Bring back our Ugali, Ugali ndio chakula kinachoshibisha vizuri. Ugali kwa mboga, maziwa safi sana. Ugali una nishati nyingi
Nishati nyingi wanahitaji wabeba mizigo, wasukuma mikokoteni, wakulima wa jembe la mkono na makundi mengine ya aina hiyo.
 
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli

Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk. Hawana akili lakini katu huwakuti wakila ugali maana ni chakula kisicho na nutrients zozote mwilini.

Hapa Tanzania jamii na makabila makabila makubwa hatupendelei ugali mfano sisi watu wa mkoa wa Kagera, Moshi(wachaga) na Mbeya hawali ugali lakini Tanzama mikoa duni kama Dodoma, Singida, Lindi, na watu wa Pwani wala ugali

Wenzetu wamataifa mengine wana afya afya na wala hawajui ugali ni nini Tazama wenzetu kutoka west Africa hawali maugali kama Watanganyika wana body zimejengeka.

Waganda, Wakenya, Wanyarwandwa hawali ugali. Mtu ukila ugali kwanza unalewa kama umepiga jibapa la Konyagi masaa mawili, ukila ugali wa Mara digestion ni ngumu mwilini chakula hakushuki hupati choo siku mbili, sasa hicho chakula au uchafu tu.

Wazungu na warabu wako vizuri kiafya wala hawayajui maugali ni nini wao wanajilia ngano, wali, nyama na maziwa, sisi Watanganyika kutwa usiku tunakula maugali na milenda kama tumerogwa

Madhara ya ugali kwa watu wetu, tumekosa washiriki wazuri kwenye michezo yani leo umpeleke Kibwana amkabe Sadio Mane AFCON haiwezekani.

Watoto hawana akili mashuleni wapo tu wamechoka yaani wamelewa chakali shuleni hawaewi kisa kula maugali.

Miili kama midogo kama digidigi unakuta mwanaume Dar anavamiwa na panya road anajificha kisa kula maugali

Sipendi ugali nakushauri usije ukala haya sumu ya akili na mwili ugali ni sumu kali

Nikiwa Rais nitapiga marufuku ugali

#kataa ugali Mtanganyika
Pesa kidogo tu umeanza ku_google madhara ya ugali!!!????
 
Sina uhakika kuhusu faida za ugali mwilini, ila umedanganya kuhusu mataifa mengine kula ugali. Africa nzima chakula kikuu ni ugali kama unasema Nigeria, Ghana, Cameroon na west kwa ujumla hawali ugali basi inaonekana hujasafiri kwenda popote. Halafu hujui hata Corn flakes, pop corn 🌽 wanazobugia wazungu ni mahindi hayohayo tofauti ni mbeguna mapishi tu?.. kama ugali ungekuwa na shida yoyote basi hata shuleni na vyuoni kusingekuwa na wakufunzi, maana wote wamelelewa na ugali na maharage. Sema nini, unaonekana una ulimbukeni fulani hivi..
Huyu shoga hajui kitu kinaitwa Nsima, Fufu, Akamu, Tou Zaafi, Sagtulga, Pap, Sadza, etc.

Alivyo msenge hajui hata alichokiandika eti Kenya hawali Ugali, anajua bei ya Unga ilitaka kumuondoa Ruto mwaka jana?

Katoka kupigwa miti sasa anajiharishia tu.
 
Vitu vingine haviandikwi kirahisi kwenye vitabu

Sio kila maarifa unayapata vitabuni
Nimejitoa kama nabii kuwapeni siri zilizojificha, wewe unalazimisha nikuletee kurasa za vitabuni

Ugali unadumaza mwili, fikra, na ni sumu kali

Ni ngumu sisi waafrica kuwaza mapinduzi ya kisayansi katika kilimo, teknolojia n.k sisi tutawaza ushirikina, miujiza na ujinga mwingi

Haya yote sababu ya lishe duni iliyoletwa na wazungu iitwayo ugali hasa wa mahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta blah blah, Carbohydrates ni sumu kijini kwenu labda...
 
Huyu shoga hajui kitu kinaitwa Nsima, Fufu, Akamu, Tou Zaafi, Sagtulga, Pap, Sadza, etc.

Alivyo msenge hajui hata alichokiandika eti Kenya hawali Ugali, anajua bei ya Unga ilitaka kumuondoa Ruto mwaka jana?

Katoka kupigwa miti sasa anajiharishia tu.
Akiwazacho mjinga ndo kimeujaza ubongo wake

Ww kichwani unawaza tu uchafu wa ushoga
Mada ni mambo ya lishe wewe tayari umeingiza mijadala ya ushoga

Acha kula maugali yameanza kukulewesha na utakuwa shoga kama ulivo muda wote kwenye fuvu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utofauti ni hivi
wa zamani walikuwa wanakula ugali na chukuchuku halafu wanaingia shambani
wa leo wanakula ugali na mifuta ya kitimoto halafu wanashinda kucheza video games...,,
 
Back
Top Bottom