Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
Umeshaambiwa kapoteza damu nyingi sumu yatoka wapi tena.Wengi wanaosema angefungwa mguu nadhani wanaangalia sana movie
Labda samaki alikuwa na sumu iliyompelekea kumuua mwamba.
RIP. Apumzike kwa amani
Sasa ccm wahahusikaje hapo? 😄 🤣 😂Pole sana mwamba.
Umewaambia CCM?
Anaonekana samaki wa kawaida tuKing fish/ Nguru
Kwanini kingereza wewe ni muingereza?? King fish...au kiswahili pia Jodari....watu wabara mikowani, Sehewa pia wanamuita nguru. Wakati sehewa ni miongoni mwa samaki wa beirahisi sana na nguru ni Aghali mno.poleni sana bro Allah amsamehe nduguyetu.huyo samaki Nguru anaitwaje kwa jina la kiingereza?