TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

King fish/ Nguru
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    7.4 KB · Views: 6
Wengi wanaosema angefungwa mguu nadhani wanaangalia sana movie

Labda samaki alikuwa na sumu iliyompelekea kumuua mwamba.

RIP. Apumzike kwa amani
Umeshaambiwa kapoteza damu nyingi sumu yatoka wapi tena.

Hata wanaokufa kwa kupigwa risasi kwenye miguu, paja, mikononi au sehemu zingine zozote tofauti na tumboni, kifuani, moyo na kichwa hupoteza maisha kwasababu ya upotevu wa damu nyingi.
 
huyo samaki Nguru anaitwaje kwa jina la kiingereza?
Kwanini kingereza wewe ni muingereza?? King fish...au kiswahili pia Jodari....watu wabara mikowani, Sehewa pia wanamuita nguru. Wakati sehewa ni miongoni mwa samaki wa beirahisi sana na nguru ni Aghali mno.poleni sana bro Allah amsamehe nduguyetu.
 
Back
Top Bottom