manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,078
- 11,930
Pole mkuu tulia dawa ikuingie Barabara 🤣🤣🤣Yes, naona Sasa vikwazo vinang'ata sawasawa, Russia hoi, dikteta anatumia Ngao ya kukata gesi ili vikwazo viondolewe apumue, kamwe hatoachiwa apumue ila atazidi kubanwa mbavu hadi ajisaidie haja kubwa. Dunia ya Sasa haiitaji madikteta.