Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Sasa kwa nini Russia inashindwa kuwaomba Wachina wachonge spareparts za hiyo pump/compressors za siemen, si technical drawings wanazo?Kuna baadhi ya components Russia wanazikosa kutokana na sanctions. Hizo zilishafanya uzalishaji ama usambazaji upungue. Hapa ni Gazprom wakisema jinsi kukosa hivyo vifaa kutoka kampuni ya Siemens kulifanya wapunguze uzalishaji kutoka 167 million cubic metres na kushuka mpaka 100 million kwa bomba la Nord Stream.
Wakihitaji sana hizo gesi watawauzia vifaa vinavyohitajikaView attachment 2266427