Pole mkuu tulia dawa ikuingie Barabara 🤣🤣🤣Yes, naona Sasa vikwazo vinang'ata sawasawa, Russia hoi, dikteta anatumia Ngao ya kukata gesi ili vikwazo viondolewe apumue, kamwe hatoachiwa apumue ila atazidi kubanwa mbavu hadi ajisaidie haja kubwa. Dunia ya Sasa haiitaji madikteta.
Wachaa wee [emoji16][emoji1][emoji1] Motivational speakers bana.
Ptuuuuu [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Yes, naona Sasa vikwazo vinang'ata sawasawa, Russia hoi, dikteta anatumia Ngao ya kukata gesi ili vikwazo viondolewe apumue, kamwe hatoachiwa apumue ila atazidi kubanwa mbavu hadi ajisaidie haja kubwa. Dunia ya Sasa haiitaji madikteta.
Safi sana Vladmir Putin! Wababe wote wa Dunia tuko nyuma yako. Pambana na hao mashoga wote mpaka wanyooke.
No retreat, ni surrender.
Tanzania yangu ingekuwa na watu smart hii ilikuwa fursa kwakoKampuni ya Usafirishaji wa gesi ya Ufaransa GRTgaz imesema kuwa mtiririko wa gesi ya Russia kupitia Ujerumani umesitishwa na kwamba nchi hiyo haijapokea gesi yoyote kutoka Russia kupitia bomba hilo tangu Juni 15,Ufaransa ambayo inategemea sana nishati ya Russia inadhamini takriban asilimia 17 ya gesi inayotumia kupitia mtandao uliounganishwa na Ujerumani.
Unaisi hawaitaji nchi nyingi zilizima vinu vya makaa ya mawe Kwasababu za kimazingira naona nyingi zimewasha vinu vyao vya nyuklia na makaa ya mawe kuongeza uzalishaji WA umeme wanajitekenya na kucheka wenyewe msimu WA baridi unakuja ndyo kimbembe zaidi viwanda vingi vitapunguza uzalishaji bdo unasema wakiitaji kweli washabiki hawajawai kukosa cha kushabikiaKuna baadhi ya components Russia wanazikosa kutokana na sanctions. Hizo zilishafanya uzalishaji ama usambazaji upungue. Hapa ni Gazprom wakisema jinsi kukosa hivyo vifaa kutoka kampuni ya Siemens kulifanya wapunguze uzalishaji kutoka 167 million cubic metres na kushuka mpaka 100 million kwa bomba la Nord Stream.
Wakihitaji sana hizo gesi watawauzia vifaa vinavyohitajikaView attachment 2266427
unahis hiz bei zitabak hv ? ndio maana tuliitwa bara la gizaSafi waoneshane makali wakiona wanaumizana watakaa watafute suluhu ya Tatizo yao.
Uzuri tushazoea bei mpya za mafuta, chapati
Zibadirishe basi mkuu ziwe Kama unavyotaka😂😂😂unahis hiz bei zitabak hv ? ndio maana tuliitwa bara la giza
Usiwe mjuaji wa nchi za watu. Wao wanajua mahitaji yao kuliko wewe hapo uliopo Tandahimba, nchi yako inapokea hela kutoka IMF kujenga vyoo ili watoto wako wenye humo alafu unanifanya kuijua Ufaransa kuliko wao?Unaisi hawaitaji nchi nyingi zilizima vinu vya makaa ya mawe Kwasababu za kimazingira naona nyingi zimewasha vinu vyao vya nyuklia na makaa ya mawe kuongeza uzalishaji WA umeme wanajitekenya na kucheka wenyewe msimu WA baridi unakuja ndyo kimbembe zaidi viwanda vingi vitapunguza uzalishaji bdo unasema wakiitaji kweli washabiki hawajawai kukosa cha kushabikia
🤣🤣🤣Mwaka huu watu wengi Sana tu tutapata uchizi ‼️😇😇😇Usiwe mjuaji wa nchi za watu. Wao wanajua mahitaji yao kuliko wewe hapo uliopo Tandahimba, nchi yako inapokea hela kutoka IMF kujenga vyoo ili watoto wako wenye humo alafu unanifanya kuijua Ufaransa kuliko wao?
"Msimu wa baridi unakuja..." blah blah, kati yako na wao nani anaujua msimu wa baridi na nani anajua mahitaji yake? Yani wewe na D yako ya hesabu unajua sana kuliko mabunge, serikali na viongozi wao?
Matokeo ya ujinga wanayoifanya kumkomoa mrusi,na Bado mengi yanakuja,kule Italy FM kakimbia Chama chake akiwalaumu wanaihujumu juhudi za kutekeleza vikwazo vyamabeberu dhidi ya Urusi,tuendelee kuisikiliza mengi yataibuka,ujerumani na kwingineko wanapuliza mkaa,ukiwatazama macho mekundu kama walevi hivi Sasa🤸.Tusiache kufuatilia uchaguzi za majimbo November Kwa beberu mkuu,Mzee Trumpet na Chama lake lazima wamnyooshe,kwani hawatakagi ujinga,wao Ni America kwanza🏃Unazungumuziaje matokeo ya Macron kupotezq majority seats za bunge?
Usiwe mjuaji wa nchi za watu. Wao wanajua mahitaji yao kuliko wewe hapo uliopo Tandahimba, nchi yako inapokea hela kutoka IMF kujenga vyoo ili watoto wako wenye humo alafu unanifanya kuijua Ufaransa kuliko wao?
"Msimu wa baridi unakuja..." blah blah, kati yako na wao nani anaujua msimu wa baridi na nani anajua mahitaji yake? Yani wewe na D yako ya hesabu unajua sana kuliko mabunge, serikali na viongozi wao?