Ulaya hali tete, Ufaransa yakatiwa gesi

Sasa kwa nini Russia inashindwa kuwaomba Wachina wachonge spareparts za hiyo pump/compressors za siemen, si technical drawings wanazo?
 
Maneno ya kikomavu Sana haho[emoji4][emoji106]
 
Sasa kwa nini Russia inashindwa kuwaomba Wachina wachonge spareparts za hiyo pump/compressors za siemen, si technical drawings wanazo?
China ina kampuni gani mbabe wa teknolojia ya nishati duniani hasa upande wa turbines na gas. The likes of Siemens, General Electric, KMW, Saab, Ansaldo au hata Wartsila ya Finland. Kama Russia wenyewe wenye uwezo wa kutengeneza jet engines wameshindwa ujue hizo vitu ni ngumu
 
Unazungumuziaje matokeo ya Macron kupotezq majority seats za bunge?
Matokeo ya wanachokifanya ukraine, Italy wanang'tana,Bulgaria wananga'yana na wengine wengi wataelekea huko,bado TU maandamano ya raia kukataa huu upuuzi 🏃
 
Watachapana makonde wenyewe kwa wenyewe (Serikali na raia)hii vita ni mbaya sana,,,,Urusi aliliona hilo na linatimia,UK washalianzisha maandamano[emoji13],
Hapo uk ndio napenda maandamano yaamke haraka maana serikali Yao Ina kihere here sana [emoji38][emoji38]
 
Umeanza kuchanganyikiwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Haya wewe acha ujuaji wa nchi za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…