You need a shot of reality
My friend, u will see. My be humjui the real Magufuli.Hapa Magufuli lazima akune kichwa
Sure, intact sio misaada, ni kiasi kidogo sana cha faida kubwa waliyoipata kupitia EPA, u don't need a college diploma tu understand this.Itakuwa ni vizuri wakizuia hiyo misaada ili tupate akili ya kujisaidia wenyewe. Kwanza hiyo wanayotoa sio misaada maana hakuna msaada unaotaka return.
Wazungu wana akili sana. Wanatengeneza faida ya trilioni 100 halafu wanakupa bilioni 100 wanakwambia ni msaada kutoka kwa walipa kodi wa nchi zao. Wewe chukulia mfano wa dhahabu, wanachimba halafu wanaenda kutengeneza pete, hereni, cheni na bangiri halafu wanauza hadi bilioni moja za kitanzania kwa pete moja tu ya dhahabu. Afrika haina viongozi wenye akili, wao kazi zao ni kuwakomalia kodi na ushuru wauza chupi na soksi za mitumba ilitokea Ulaya na Marekani wakati utajiri wanauona tu!Sure, intact sio misaada, ni kiasi kidogo sana cha faida kubwa waliyoipata kupitia EPA, u don't need a college diploma tu understand this.
Wake up and see the reality ...Sio hao tu, nchi hii inatakiwa inyimwe misaada yote, yaani wote wazuie hiyo misaada yao, tunahitaji kuishi maisha yetu sasa.
For sure tumekuwa na viongozi dhaifu sana toka ccm, Nchi na rasilimali zote hizi halafu watu wanalilia misaada, ni ulemavu wa akili au ni kitu gani?
My strongest president do not ever hesitate telling them to stay with their money, we stay with our poverty, we will truly learn to get out of poverty by ourselves.
Ni aibu kwa mwanaume mwenye nguvu, akili na Afya kutegemea jasho la Mwanaume mwenzio,
Ndio maana hawa wazungu wamepata jeuri na kuvuka mipaka kiasi cha kutuambia tuwe mashoga ili tupate misaada,
I am sure my Strong president will agree with me,
There will be no EPA, neither any such exploitative deals,
@100% Mnyalu!