Sio hao tu, nchi hii inatakiwa inyimwe misaada yote, yaani wote wazuie hiyo misaada yao, tunahitaji kuishi maisha yetu sasa.
For sure tumekuwa na viongozi dhaifu sana toka ccm, Nchi na rasilimali zote hizi halafu watu wanalilia misaada, ni ulemavu wa akili au ni kitu gani?
My strongest president do not ever hesitate telling them to stay with their money, we stay with our poverty, we will truly learn to get out of poverty by ourselves.
Ni aibu kwa mwanaume mwenye nguvu, akili na Afya kutegemea jasho la Mwanaume mwenzio,
Ndio maana hawa wazungu wamepata jeuri na kuvuka mipaka kiasi cha kutuambia tuwe mashoga ili tupate misaada,
I am sure my Strong president will agree with me,
There will be no EPA, neither any such exploitative deals,
@100% Mnyalu!