Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
unajua dhamani gani tutakayolipa?
Go die in the ocean man, (in deep sea)
That brainless thinking is No longer needed. Maisha ya kubahatisha hayo mkuu, vijana hatutaki mtazamo wa kiboya kama huo wako.
Hao uingereza ni wajomba zako?
Acha uboya, hiyo 70% umeipatia Mathare?I support the EU , you know Kenya is a middle income country unlike her rivalry in the region who rely 70% on the AID from EU,. those are the people who should be worried a lot.
hahaaaa ulivijuaje???yawezekana wewe mpenzi sana singeli na vigodoro hahahasaaHehehehe... Hilo huwa linasomwa na great thinkers.... Analysis zake ni za level nyingine sio kama zile zenu huandika mambo ya vigodoro na singeli Dar.
Kweli mimi nilikua napenda kujionea vigodoro nikiwa Dar, hamna haja ya unafiki, nilipenda kuwaona wanavyonegua mauno.hahaaaa ulivijuaje???yawezekana wewe mpenzi sana singeli na vigodoro hahahasaa
CORRECTION: Mwanzilishi na ambaye mwenye hisa nyingi ni Aga Khan.Nation Media Group ya Kenya ndo wamiliki.
Haha, halafu huku inaku-cost more to access EU market. Bado mguu, mmoja haujatoka shimoni mkuu.Kenya Is middle income it doesnt receive aid anyway hahaha
Sisi ni matajiri,hatuitaji misaada.
Kwanza ungetuambia ni kiasi gani wazungu wanachangia bajeti ya Tanzania? Mchango wao umekuwa una pungua mwaka hadi mwaka. Na hii ni kwa makusudi sio bahati, nchi ilisha dhamiria kufuta kabisa misaada.Wake up and see the reality ...
That hero of yours isn't going to play his cards well in anything
Usiongee kwa kuwa upo jukwaa la Kenya ... Kila mtu anaijua hali halisi ya Tanzania yaani haiwezi kuendesha bajeti yake yenyewe bila misaada lakini pia ninaona hoja ya kunyimwa misaada itawashtua hao mamwinyi ili wapate akili ya kuzisimamia rasilimali zetu .....
Kwasababu kuna badhi yetu wana ajenda za siri. Hata kwenye ndoa lazima ujaribu kumjua mwenza wako yuko vipi japo vingine utafichwa.Wabongo tunaongea tu hapa lakini likija swali la kuundwa Shirikisho la Afrika Mashariki kila mtu anapiga chini!
Acha
Acha uboya, hiyo 70% umeipatia Mathare?
Mzaha na utani uko wapi hapo sasa? Kwahyo tuwanyenyekee tu hata kwa kutunyanyasa. Huu utakuwa wehu sasa, mbona zinapokuja inshu za gays na lesbianism mnatokwa mimacho, hawana jema hawa.Kila kitu unaleta utani na mzaha hata kwenye mambo ambayo hayahitaji utani wala mzaha, jaribu kuwa makini kidogo itakusaidia hata kwenye maisha yako binafsi!
Siasa yetu ni "ujamaa na kujitegemea" na kwa hiyo tutaifia na Kwa kizazi hiki cha akna Nyerere wapya, tutawashinda tu. Mwl. amesema hatuna mjomba wala shangazi nje ya Tanzania, tujitegemee.Everything fallings into place, angalau sasa tutaongea kama watu wazima kwenye meza ya makubaliano. EU wakitaka kutuuzia kitu, tutajadiliana nao kibiashara kuliko kivikwazo vya misaada. Dola moja ya msaada ikija Afrika, dola tatu au zaidi ya rasilimali inakwenda kwao. Tuondoe unyonyaji uliodumu zaidi ya miaka mia tano (500).
Tanzania na demokrasia wapi na wapi? Vyama vingi hatukuvihitaji sisi na wala kamwe hatuli demokrasia sisi. Wala si ajenda ya watanzania waliowengi hapa, labda 1/100000 na ndiyo hao mnaowasikia.MALCOM LUMUMBA ,
..ni bora TZ tunyimwe misaada kwa kukataa kusaini huo mkataba kuliko kunyimwa misaada kwa kukandamiza demokrasia, haki za wananchi, na kuvuruga uchaguzi kama ilivyotokea kule ZNZ
Cc MK254, Richard
Punje ya ngano ni lazima ife na ioze ndo nyingine ichipuke na kumea na kuleta mazao mapya mengi yenye kufaa.Na sisi tutazuia au tutauza umeme kwa bei ambayo haitafikiwa na soko la dunia kwa zaidi ya miaka 1000 ijayo vile vile na bei ya transport na ushuru wa mafuta yaendayo migodini na kwenye biashara zao nyingine.
Ni bora tusing'ae mpaka tufike point waliyotubebea (zero aid level) ili tuanzie hapo kuja huku tulipo.
Na permit za wazungu kuja Tanzania ziongezewe bei kwa mara million 100 kwenye gharama iliyopo. Na wengine wenye msimamo thabiti wa kumwezesha Mama Tanzania awakazie sura hawa Europeans Aendelee kupigilia!!
Mia kwa mia mkuu.Siasa yetu ni "ujamaa na kujitegemea" na kwa hiyo tutaifia na Kwa kizazi hiki cha akna Nyerere wapya, tutawashinda tu. Mwl. amesema hatuna mjomba wala shangazi nje ya Tanzania, tujitegemee.