Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

EU wanajitekenya wanajua who calls the shot in the region! Mara wafungue assembly plants in Nrb n Kigali thinking Tanzania will give in! I feel sorry for them..
Waende zao! We can't open up our market to an economic block that has contries that don't invest in us! Only the UK was doing that but unfortunately is no more EU member!
 
Go die in the ocean man, (in deep sea)
That brainless thinking is No longer needed. Maisha ya kubahatisha hayo mkuu, vijana hatutaki mtazamo wa kiboya kama huo wako.
Hao uingereza ni wajomba zako?

Mkuu, usikurupuke kujibu hoja bila kufikiri.

Mtazamo wangu ni kwamba kama Uingereza ikijitoa EU tutafanya nao biashara kati yetu bila kuwashirikisha EU.

Lakini kama Uingereza bado watakuwa ndani ya EU basi tuna kila sababu za kuitoa kwenye hiyo EPA.
 
You know I don’t find this stuff amusing
anymore, I don't want to end up a cartoon in a cartoon graveyard-Paul Simon.
 
Acha
I support the EU , you know Kenya is a middle income country unlike her rivalry in the region who rely 70% on the AID from EU,. those are the people who should be worried a lot.
Acha uboya, hiyo 70% umeipatia Mathare?
 
Hehehehe... Hilo huwa linasomwa na great thinkers.... Analysis zake ni za level nyingine sio kama zile zenu huandika mambo ya vigodoro na singeli Dar.
hahaaaa ulivijuaje???yawezekana wewe mpenzi sana singeli na vigodoro hahahasaa
 
hahaaaa ulivijuaje???yawezekana wewe mpenzi sana singeli na vigodoro hahahasaa
Kweli mimi nilikua napenda kujionea vigodoro nikiwa Dar, hamna haja ya unafiki, nilipenda kuwaona wanavyonegua mauno.

Angalia headlines za magazeti ya Bongo, yaani magazeti ya kitaifa kila siku ni mambo ya Zari na Wema na Diamond badala ya analysis zenye tija, sasa haya ndio anayasifia Cicero
CYGizoLUAAAVEFC.jpg
 
Sometimes I wonder how tzanians reason. Look, most of the stuff made in Europe - you can't afford. I repeat, you can't afford. So why are you worried. Just coz someone is asking you to sign an agreement that allows you to dine in a 5 star hotel does not imply by signing you are being forced to dine in that 5 star hotel. You just stick to your kibanda (local, India or China).
Remember EU owes us no favour to give us aid. Infact, most EU countries are struggling. So will they sort out Greece, Portugal, Spain or some African country in east Africa with a big ego.
 
Wake up and see the reality ...

That hero of yours isn't going to play his cards well in anything

Usiongee kwa kuwa upo jukwaa la Kenya ... Kila mtu anaijua hali halisi ya Tanzania yaani haiwezi kuendesha bajeti yake yenyewe bila misaada lakini pia ninaona hoja ya kunyimwa misaada itawashtua hao mamwinyi ili wapate akili ya kuzisimamia rasilimali zetu .....
Kwanza ungetuambia ni kiasi gani wazungu wanachangia bajeti ya Tanzania? Mchango wao umekuwa una pungua mwaka hadi mwaka. Na hii ni kwa makusudi sio bahati, nchi ilisha dhamiria kufuta kabisa misaada.
 
Everything fallings into place, angalau sasa tutaongea kama watu wazima kwenye meza ya makubaliano. EU wakitaka kutuuzia kitu, tutajadiliana nao kibiashara kuliko kivikwazo vya misaada. Dola moja ya msaada ikija Afrika, dola tatu au zaidi ya rasilimali inakwenda kwao. Tuondoe unyonyaji uliodumu zaidi ya miaka mia tano (500).
 
Wabongo tunaongea tu hapa lakini likija swali la kuundwa Shirikisho la Afrika Mashariki kila mtu anapiga chini!
Kwasababu kuna badhi yetu wana ajenda za siri. Hata kwenye ndoa lazima ujaribu kumjua mwenza wako yuko vipi japo vingine utafichwa.
 
Kila kitu unaleta utani na mzaha hata kwenye mambo ambayo hayahitaji utani wala mzaha, jaribu kuwa makini kidogo itakusaidia hata kwenye maisha yako binafsi!
Mzaha na utani uko wapi hapo sasa? Kwahyo tuwanyenyekee tu hata kwa kutunyanyasa. Huu utakuwa wehu sasa, mbona zinapokuja inshu za gays na lesbianism mnatokwa mimacho, hawana jema hawa.

Nadhani kuna watu humu, akina Kenyata, Nkrumah, Nyerere na wengine wakirudi mtawapiga mawe, walichokifanya si ni ujinga. Sa kwann bado mnasheherekea siku za uhuru kwa mbwembwe?
 
Everything fallings into place, angalau sasa tutaongea kama watu wazima kwenye meza ya makubaliano. EU wakitaka kutuuzia kitu, tutajadiliana nao kibiashara kuliko kivikwazo vya misaada. Dola moja ya msaada ikija Afrika, dola tatu au zaidi ya rasilimali inakwenda kwao. Tuondoe unyonyaji uliodumu zaidi ya miaka mia tano (500).
Siasa yetu ni "ujamaa na kujitegemea" na kwa hiyo tutaifia na Kwa kizazi hiki cha akna Nyerere wapya, tutawashinda tu. Mwl. amesema hatuna mjomba wala shangazi nje ya Tanzania, tujitegemee.
 
MALCOM LUMUMBA ,

..ni bora TZ tunyimwe misaada kwa kukataa kusaini huo mkataba kuliko kunyimwa misaada kwa kukandamiza demokrasia, haki za wananchi, na kuvuruga uchaguzi kama ilivyotokea kule ZNZ

Cc MK254, Richard
Tanzania na demokrasia wapi na wapi? Vyama vingi hatukuvihitaji sisi na wala kamwe hatuli demokrasia sisi. Wala si ajenda ya watanzania waliowengi hapa, labda 1/100000 na ndiyo hao mnaowasikia.
 
Na sisi tutazuia au tutauza umeme kwa bei ambayo haitafikiwa na soko la dunia kwa zaidi ya miaka 1000 ijayo vile vile na bei ya transport na ushuru wa mafuta yaendayo migodini na kwenye biashara zao nyingine.
Ni bora tusing'ae mpaka tufike point waliyotubebea (zero aid level) ili tuanzie hapo kuja huku tulipo.
Na permit za wazungu kuja Tanzania ziongezewe bei kwa mara million 100 kwenye gharama iliyopo. Na wengine wenye msimamo thabiti wa kumwezesha Mama Tanzania awakazie sura hawa Europeans Aendelee kupigilia!!
Punje ya ngano ni lazima ife na ioze ndo nyingine ichipuke na kumea na kuleta mazao mapya mengi yenye kufaa.
 
Siasa yetu ni "ujamaa na kujitegemea" na kwa hiyo tutaifia na Kwa kizazi hiki cha akna Nyerere wapya, tutawashinda tu. Mwl. amesema hatuna mjomba wala shangazi nje ya Tanzania, tujitegemee.
Mia kwa mia mkuu.
 
Back
Top Bottom