Ulaya kuzuri; Maimamu 13 waliotumwa kwa ajili ya Ramadhani watokomea

Kila La Heri Masheikh Pigeni Dufu Ulaya Sana Sana
 
Lakini Morocco nako si pazuri kama Ulaya tu?
 
Waachani wafanye kazi ya Mungu huko.
 
Kutoka Morocco mpaka Hispania ni sio mbali sana sidhani kama ni kweli.
 
Hivi wale mabindia wetu walioingua mitini ulaya washapatikana
 
Duh wanahamia Kwa makafiri
 
Msichukulie poa, wamezamia huko kwenda kueneza dini yao ulaya, wataoa wake wengi wazungu na kuzaa machotara ya dini yao na wakiwa wengi wanaanza kuwa mwiba kwa nchi walikozaliwa. Mbinu mbaya sana hii ya kueneza dini hiyo kwa wazungu na matokeo yake yanaanza kuonekana wanataka nini katika ulimwengu wa dini yao
 
Hata ingekuwa mimi nisingerudi kwenye nchi ya mfalme. Waishakuwa wakimbizi hao. Ohh askari wa mfalme waliniminya makende, ha haaa!
 
Na ukute wameacha wake wanne wanne huku Afrika🙌
 
Na ukute wameacha wake wanne wanne huku Afrika🙌
Ukisoma hiyo link naona wamesema awamu zijazo watakao enda inabidi wawe wameoa inawezekana baadhi hawakuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…