Ulaya kuzuri; Maimamu 13 waliotumwa kwa ajili ya Ramadhani watokomea

Ulaya kuzuri; Maimamu 13 waliotumwa kwa ajili ya Ramadhani watokomea

Pengine wamepata shida, siyo rahisi wote kuwa na akili moja.
 
Na wale wa Somali waliokujaga kwa ajili ya mashindano ya football hapa Bongo siku ya kuondoka kikosi kina wachezaji sita tu?
 
Kuna wimbo flani hivi sikumbuki unaitwaje ila mwishoni kabisa kwenye rap wanasema Ulaya ulaya....
Nani asiependa maisha ya uhuru?? Acha wale maisha
 
Back
Top Bottom