Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 9, 2024 #41 Pengine wamepata shida, siyo rahisi wote kuwa na akili moja.
Chiblak JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 662 Reaction score 921 May 9, 2024 #42 Na wale wa Somali waliokujaga kwa ajili ya mashindano ya football hapa Bongo siku ya kuondoka kikosi kina wachezaji sita tu?
Na wale wa Somali waliokujaga kwa ajili ya mashindano ya football hapa Bongo siku ya kuondoka kikosi kina wachezaji sita tu?
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,884 Reaction score 8,924 May 9, 2024 #43 Maalim Malaria 2 kimsboy Morogoro kaskazini Ritz Al waz Salamaleko mbona mme zamia kwa makkafir kulikoni Yakhee!!!...
Maalim Malaria 2 kimsboy Morogoro kaskazini Ritz Al waz Salamaleko mbona mme zamia kwa makkafir kulikoni Yakhee!!!...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 May 30, 2024 #44 Kuna wimbo flani hivi sikumbuki unaitwaje ila mwishoni kabisa kwenye rap wanasema Ulaya ulaya.... Nani asiependa maisha ya uhuru?? Acha wale maisha
Kuna wimbo flani hivi sikumbuki unaitwaje ila mwishoni kabisa kwenye rap wanasema Ulaya ulaya.... Nani asiependa maisha ya uhuru?? Acha wale maisha
I inspectorbenja JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 597 Reaction score 651 May 31, 2024 #45 Exile said: Paris ni pepo tosha kuna mito ya pombe, chai ya tangawizi na wanawake wa kutosha urudi afrika kufanya nini? kuburuza kobaz Click to expand... Onve they have seen Paris,how are you gonna take them down the farm.
Exile said: Paris ni pepo tosha kuna mito ya pombe, chai ya tangawizi na wanawake wa kutosha urudi afrika kufanya nini? kuburuza kobaz Click to expand... Onve they have seen Paris,how are you gonna take them down the farm.