Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

Maisha yatakuwa magumu sana.

Kila kinacho onekana kibaya kuna neema eneo lingine, within 5 years uchumi wetu unaweza kuhit na sio nzuri, kuna expected inflow ya direct foreign investmet ya 50 billion dollars, 35 billion ya LPG Plant Kilwa, Lindi, 5 billion ya bomba la Hoima Uganda, 6 billion ya industrialisation Mchuchuma, Iron ore Liganga, 3 billion smelting plant Ngara, 8 billion Auction ya Oil fields.

Pesa zInatosha zikimwagika nyingii sana tutakaribisha ufisadi wa kufa mtu.
 
Na upinzani ndo utashika dola siyo?

Mnashabikia tu kwa vile hamjui nani atakuwa ni victim kwenye hili.

Hao jamaa wakijitoa watapoteza ushawishi jumla bongo so inabaki sisi kwa sisi hakuna hata matamko tena hata mkikatwa vichwa,balozi wao ni sawa na wa Burundi tu hata diwani anamjibu.
 
Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza kuathirika ikiwemo kukwama kabisa kwa miradi hiyo.

Hata kama fedha za hii miradi hazitoki Ulaya na Marekani, bado naamini support kubwa ya hawa tunaowaita mabeberu ndio inawezesha serikali kugharamia hiyo miradi kwa kuiongezea serikali uwezo wa kifedha kugharamia hiyo miradi sambamba na mambo mengine ya muhimu kama afya,maji,umeme.

Vile vile Benki ya Dunia-moja ya taasisi za fedha za kimataifa inayotukopesha- wametuwezsha kukamilisha miradi mingi ambayo CCM wanaitumia kujisifu: Ubungo interchange, soko la Ndugai kule Dodoma, Stendi ya kisasa Dodoma, n.k.

Kwakweli tuache kiburi na tuwe na shukurani kwani bila hawa watu tusingiweza kufanya baadhi ya mambo ambayo leo hii tunajisifu kuyafanya na zaidi tuache Kejeli za kuita hawa watu mabeberu ikiwa hata huduma za msingi kama elimu, afya na maji zinatushinda kuzitekeleza bila support yao.
Hahaaaaa Unajitekenya Magufuli ni kamanda mwache mwanaume afanye kazi.
 
S
Hivi huwa mnafikiria kuwa wazungu wanafurahia kuona nchi ya kiafrica inajitutumua na kufanya jitihada za kujiendeleza, especially kwa ku-ignore misaada/mikopo yao? Kama huwa mnafikiria hivyo inabidi muanze kufikiri upya!

Na kwa kuwa wameshawapandikizia dhana potofu ya kuamini kwamba hamuwezi kufanya chochote kizuri bila wao, ndo wamewamaliza kabisa.
Sasa kwa Nini mnatuua ovyo. Ulaya ndo pakukimbilia au ndo kimbilio letu Mana maafrika yote ni madictor
 
Nimekwambia hawatashabikia kuuwa demokrasia kama vile vile wasivyotaka serikali inayofuga ufisadi na kushindwa kusimamia miradi ya umma.
Lakini Afrika Yetu ni ngumu kupata serikali inayofanya kila kitu sawa.
Shida ya afrika ipo kwenye malezi kupitia malezi Bora ni rahisi kuwapata viongozi bora
 
vijana wa ufipa ni kama kuku,ukiwasikiliza sana utagundua hata hawana uhakika na wanachokisimamia,ndio sababu wanashika lolote tu.
 
Hivi mliwahi ona marekani miaka yote tangia uhuru vyama vya siasa nje ya vile viwili Republican na democratic huwa wanashinda kiti cha Urais?
Kwanini basi kimoja kati ya hivi kikishinda serikali na mihimili mingine hawana hofu yeyote ya kuipa nchi chama kilichoshinda?

CCM. Some how naona kuna sehemu mnachemka sana .
Miaka 50+ kutawala nchi hamuwezi kupendwa hata kama mnafanya mazuri as long as mnawatawala human being ambao wana akili timamu wanafika mahali wanawachoka completely.

Ushauri wangu
Chagueni chama cha siasa kimoja cha upinzani mkiwekeze katika mfumo wake kuanzia sera zake , na miiko ya kiutawala with open minded pia mkitoa mipaka katika chama hicho ( nchi kwanza )
Na mwisho kuruhusu siku moja watawale angalau miaka kumi au mitano then mnabadilishana pasipo kuwa na figisu ya kukiua.

Kumbukeni CCM ni chama cha ukombozi Baran Africa, ni chama kilichokomboa nchi nyingi na ni baba wa nchi mbalimbali kwa namna hiyo ni vema kulinda heshima yenu ya total independence lakini huku mkiwa very smart kujua takwa la kidunia likoje.

Utawala unahusisha mambo mengi na muono wa mbali wa watesi wenu na pia marafiki wenu.

Ona sasa kila zuri lifanywalo watu hawalioni bali kila muda ni kutafuta namna ya kulikosoa na kulipuuza. Inavunja sana moyo.
MMESAJIRIWA TANGU 1992 HADI LEO HAMJITAMBUI HALAFU MNATEGEMEA KUPEWA DOLA. KWELI MMEFELI KABISA
 
Mkuu

Kuna mataga hua hawana akili kabisa

Utasikia Marekani kitu gani bwana,EU kitu gani bwana....

Yanachoshindwa kuelewa ni kwamba Marekani au EU akiku-ban sio wao tu,ni pamoja na waashirika wao wote duniani hukatizi

Ndio maana hizi decisions ni very very crucial

Ingekua ni Marekani kama Marekani pekee yake sio shida kubwa sana,ishu ni nyuma ya Marekani ni karibu nchi zote duniani,wakipiga ban ni labda uende Mars!

Mataga ni mavi kabisa

Pinga pinga mtalia vilio vyote mwaka huu Jiwe alichowafanya sio mchezo 🤣 🤣
 
Vijana wa kisasa mnateseka na kuhangaika Sana na hii nikwasababu mmezoea kulelewa makwenu mpaka mnazeekea hapo kwa kuogopa majukumu ya kujitegemea.

Hivi kabla ya watu wa ulaya kuja Afrika na Tanzania watu hawakuishi?

Na Kama ni ndio unafkiri kipi kitasababisha watu wasiishi Kama wakiamua kujiweka pembeni?

Funguweni akili mgando hizo na muache kuwasujudu wazungu nao ni watu Kama nyie tu tofauti rangi tu.

I love my country [emoji1241].
Hata kama unaichukia ni we.we
 
Ulaya na Marekekani wakibana na Marekani wakatumia influence yao kwenye mashirika kama Benki ya dunia, nchi hii miradi mingi itakwama na hata hiyo SGR na ujenzi wa Bwawa la Umeme vyote vinaweza kuathirika ikiwemo kukwama kabisa kwa miradi hiyo.

Hata kama fedha za hii miradi hazitoki Ulaya na Marekani, bado naamini support kubwa ya hawa tunaowaita mabeberu ndio inawezesha serikali kugharamia hiyo miradi kwa kuiongezea serikali uwezo wa kifedha kugharamia hiyo miradi sambamba na mambo mengine ya muhimu kama afya,maji,umeme.

Vile vile Benki ya Dunia-moja ya taasisi za fedha za kimataifa inayotukopesha- wametuwezsha kukamilisha miradi mingi ambayo CCM wanaitumia kujisifu: Ubungo interchange, soko la Ndugai kule Dodoma, Stendi ya kisasa Dodoma, n.k.

Kwakweli tuache kiburi na tuwe na shukurani kwani bila hawa watu tusingiweza kufanya baadhi ya mambo ambayo leo hii tunajisifu kuyafanya na zaidi tuache Kejeli za kuita hawa watu mabeberu ikiwa hata huduma za msingi kama elimu, afya na maji zinatushinda kuzitekeleza bila support yao.

Non sense
 
Vijana wa kisasa mnateseka na kuhangaika Sana na hii nikwasababu mmezoea kulelewa makwenu mpaka mnazeekea hapo kwa kuogopa majukumu ya kujitegemea.

Hivi kabla ya watu wa ulaya kuja Afrika na Tanzania watu hawakuishi?

Na Kama ni ndio unafkiri kipi kitasababisha watu wasiishi Kama wakiamua kujiweka pembeni?

Funguweni akili mgando hizo na muache kuwasujudu wazungu nao ni watu Kama nyie tu tofauti rangi tu.

I love my country [emoji1241].
Ni washenzi sana
 
Haya,wewe mwenyewe unakubali joka kafanya vitu vya kiharamia mwaka huu

Then unataka tukubali "tusipinge" uharamia?

Yaani mpaka "uharamia" tusiupinge tunyamaze kama kondoo tu ndio ufurahi?

Aisee,hii ni hatari sana!

Yaani mtu umpige hata haki ya kulia umnyang'anye pia?

vipi yule aliefukuza wanachama kisa walienda bungeni kipindi cha corona? sio uharamia? vp anaetishia kuua watu kisa wanataka kumtoa kwenye uenyekiti
 
Mzee,sheria za chama zipo clear

Kama azimio limepitishwa na kamati kuu ya chama,then kuna watu wakaenda kinyume na agizo la kamati kuu then adhabu ni kuwafukuza uanachama,thats what was done!

Kama kutekeleza maazimio ya kamati kuu ya chama ni uharamia then let that be!

Uharamia ni wizi wa kura wa wazi,kuua watu,kufunga watu jela kwa makosa ya uongo sababu tu ni wanasiasa,etc

Huo ndio uharamia...

au vipi mzee.

kwani sheria ya uchaguzi inasemaje kwa mgombea anayeachwa kwa kura??
 
baba,uchaguzi ni mashindano within the agreed set of laws!

Sio mashindano tu kama mavi yanaenda choo cha shimo...alah

wewe unapindisha laws ili ushinde?

sasa kulikua na haja gani ya kua na hizo laws to begin with?

Uchaguzi huru na wa haki ni uchaguzi within the agreed laws,ukivunja sheria mojawapo ya hizo mlizokubaliana basi sio uchaguzi wa haki....

Mojawapo ni kuzuia wasimamizi wa wapinzani wako nao kua kwenye vyumba vya kura,sasa mpo wenyewe ndani ya vyumba,wapinzani wako umewatoa nje,ujihesabie kura mwenyewe na kujishuhudia mwenyewe?

stop this bwana

kwahiyo mlikiwa mkiingia kwenye mashindano hayo huku hamjui yote haya??

watu wazima above 25yrs!!!
 
Shida ya afrika ipo kwenye malezi kupitia malezi Bora ni rahisi kuwapata viongozi bora
Mkuu hata Mugabe alianza vizuri sana akaja kumalizia vibaya,Shida ya Afrika ni wakubwa kujichukulia mali za umma pale wakisha kaa madarakani.
Tuseme tu ni viongozi wachache katika bara letu wanaoweza kutenganisha mali yake binafsi na mali ya umma akina Thomas Sankara, akina Edward Sokoine.
 
20 November 2020
Bonn, Germany

DW -SWAHILI LEO, TATHMINI YA ATHARI ZA UCHUMI ZITAKAZOJITOKEZA TANZANIA,IWAPO ITANYIMWA MISAADA NA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

Source : mubashara studio
 
Back
Top Bottom