Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

Maisha yatakuwa magumu sana.

Kila kinacho onekana kibaya kuna neema eneo lingine, within 5 years uchumi wetu unaweza kuhit na sio nzuri, kuna expected inflow ya direct foreign investmet ya 50 billion dollars, 35 billion ya LPG Plant Kilwa, Lindi, 5 billion ya bomba la Hoima Uganda, 6 billion ya industrialisation Mchuchuma, Iron ore Liganga, 3 billion smelting plant Ngara, 8 billion Auction ya Oil fields.

Pesa zInatosha zikimwagika nyingii sana tutakaribisha ufisadi wa kufa mtu.
 
Na upinzani ndo utashika dola siyo?

Mnashabikia tu kwa vile hamjui nani atakuwa ni victim kwenye hili.

Hao jamaa wakijitoa watapoteza ushawishi jumla bongo so inabaki sisi kwa sisi hakuna hata matamko tena hata mkikatwa vichwa,balozi wao ni sawa na wa Burundi tu hata diwani anamjibu.
 
Hahaaaaa Unajitekenya Magufuli ni kamanda mwache mwanaume afanye kazi.
 
S
Sasa kwa Nini mnatuua ovyo. Ulaya ndo pakukimbilia au ndo kimbilio letu Mana maafrika yote ni madictor
 
Nimekwambia hawatashabikia kuuwa demokrasia kama vile vile wasivyotaka serikali inayofuga ufisadi na kushindwa kusimamia miradi ya umma.
Lakini Afrika Yetu ni ngumu kupata serikali inayofanya kila kitu sawa.
Shida ya afrika ipo kwenye malezi kupitia malezi Bora ni rahisi kuwapata viongozi bora
 
vijana wa ufipa ni kama kuku,ukiwasikiliza sana utagundua hata hawana uhakika na wanachokisimamia,ndio sababu wanashika lolote tu.
 
MMESAJIRIWA TANGU 1992 HADI LEO HAMJITAMBUI HALAFU MNATEGEMEA KUPEWA DOLA. KWELI MMEFELI KABISA
 

Pinga pinga mtalia vilio vyote mwaka huu Jiwe alichowafanya sio mchezo 🤣 🤣
 
Hata kama unaichukia ni we.we
 

Non sense
 
Ni washenzi sana
 

vipi yule aliefukuza wanachama kisa walienda bungeni kipindi cha corona? sio uharamia? vp anaetishia kuua watu kisa wanataka kumtoa kwenye uenyekiti
 

au vipi mzee.

kwani sheria ya uchaguzi inasemaje kwa mgombea anayeachwa kwa kura??
 
Anaeachwa kwa kura?

Kura halali kwa uchaguzi halafu credible na wa haki,anaeshinda kashinda

Huu wa juzi ni wizi na uuajie wa raia!

uchaguzi huru na haki ukoje!!!!

umesahahu uchaguzi ni mashindano???
 

kwahiyo mlikiwa mkiingia kwenye mashindano hayo huku hamjui yote haya??

watu wazima above 25yrs!!!
 
Shida ya afrika ipo kwenye malezi kupitia malezi Bora ni rahisi kuwapata viongozi bora
Mkuu hata Mugabe alianza vizuri sana akaja kumalizia vibaya,Shida ya Afrika ni wakubwa kujichukulia mali za umma pale wakisha kaa madarakani.
Tuseme tu ni viongozi wachache katika bara letu wanaoweza kutenganisha mali yake binafsi na mali ya umma akina Thomas Sankara, akina Edward Sokoine.
 
20 November 2020
Bonn, Germany

DW -SWAHILI LEO, TATHMINI YA ATHARI ZA UCHUMI ZITAKAZOJITOKEZA TANZANIA,IWAPO ITANYIMWA MISAADA NA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

Source : mubashara studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…