Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?
Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?