Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

Na TRAVEL ADVISORY ZAO ziko LEVEL 4 inayomaanisha DON'T TRAVEL.
 
Tutafanya utalii wenyewe. Hii serikali inaupungufu sana wa maono.

Utalii ni luxuriously good. Hakuna mtu anapesa ya kuchezea kipindi hiki na miaka kama miwili baada ya sasa.

Nchi kipindi kama hiki ilikuwa unatakiwa iangalie necessity goods. Hasa hasa mazao ya kilimo na viwanda.

Ni upumbavu uliopitiliza kufikiri utalii ndyo utafufua uchumi wetu.

Sera ya viwanda imeishia wapi? Huu ndyo ulkuwa muda wa kufufua viwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
ww hujui kitu kwa tarifa yako kwa mtu mwenye huruka ya kutalii ni lazima asafiri tuu na utalii unafanywa na watu wenye vipato vikubwa sio masikini bada ya mipaka kufunguliwa watalii watajazana mno sababu ya kiu ya kuto kuipata nafasi hiyo kwa mda mrefu kikubwa nikuandaa mazingira salama ya kuwawezesha wafike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?"
Mkuu ndege sio basi la Mwanza kwamba ukikata ticket huulizwi....Kwenye Ndege kuulizwa ni lazima
Wewe itakuwa haujasafiri internationally au intercontinentally. Pia watu mnaandika kwa kubuni tu. Ninakuja Tz kutoka USA zaidi ya mara tatu kila mwaka, na pia nimesafiri mabara mengine. Hata siku moja hauulizwi sababu ya kununua tiketi ya ndege. Usichanganye tiketi na visa mkuu
 
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?

Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?

Achaa unaaa mkuu.tuliza kipele watalii wanakuja mob mimi tayari nina booking Zao za mwezi wa saba na nimeshalipwa mpunga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?

Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?

Endelea kukata tamaa.maana ni haki yako lkn maisha yatasonga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapata shida sana mtoa mada, wewe hujiulizi kwa nini Mzee Baba katoka Chato kurudi Ikulu?
 
halafu msidhani watu wote wanaogopa hiyo corona yenu wengine wanatii tu mamlaka mamlaka zitapo wapa uhuru wa kusafiri watamiminika wengi mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha!!
Kwa sababu hujui jinsi wanavyorukana mita mbili barabarani kila siku, wanavyojifungia ndani, wanavyoogopa kuliko weusi wanaokufa Ulaya na Marekani kwa wingi sababu hawajilindi. Nawaona hapa UK.
 
Mkuu unaishi Dunia gani?
Mbona nchi nyingi wanatoka ndani na wengine wanajiandaa kutoka ndani huku maambukizi yakiwa bado juu?!!
Sana sana wananchi.wanaambiwa wamentain social distance.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko UK nayaona na kusikia yote, kuna masharti makali kwenye ulegezo wa lockdown, na watu wenyewe hawatoki, na wengi wanawapinga viongozi wakati wachache wajinga wanataka uhuru.
 
unaumia mkuu kuambiwa watalii wameongezeka? epuka dhambi ya kujidharau na kulidharau taifa lako kwa gharama ya kujumlisha baya 1 ktk mazuri 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
hajui tuh maneno yake yanavyotuumiza wengine tunaotegemea utalii.angekuwa karibu hyu ningempa kelbu moja imtoe wenge
 
Watalii? Kuna wakati Tz inakuwa kama ipo dunia yake vile.....watakuwa wanatoka mwezini au sayarini.

Tuendelee kujikinga na corona,ipo
Ukiwemo wewe uko kivyako. Unachojua ni kuwa hao raia wanaondoka tanzania pekee na nchi zingine hawaindoki.
 
Sitarajii kuona watalii wakija kwa siku za hivi karibuni. Labda wawe wale UFOs kutoka Sayari za Mbali, lakini kwa akili nyingi walizonazo wao pia hawawezi kuja.
 
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?

Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?

Wanajitekenya wenyewe halafu wanacheka wenyewe

Wanajitekenya wenyewe hao wanaosema kuwa watalii wanakuja, hata huyo mtalii akija Tanzania ndani ya miez hii mitatu atakuwa Hana akiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom