Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

Time will tell who are stupid.
Kuna kipindi wanaitwa mabeberu na ndio walio leta vipimo vibovu na hao wazungu ndio wanaitwa watalii sasa unakaa unawaza wew hupati jibu
Ni wakati gani wanakua mabeberu na wakati gani wanageuka watalii
Walipo sema tutaokota maiti tukawabeza walipo sema watakuja kutalii tukawaamini lakini ni wazungu walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kubishana tarehe 28/05/2020 ndege za watalii zinaanza kutua hapa. Na nyungu watupigwa kama suplementary package
 
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?

Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?

Sijakuelewa. Yaani wanwaondoa raia wao hapa nchini kwa nia ya kuwapeleka kwenye maambukizi ya Corona? Umeisikia Serikali imesema kuwa Jumatatu tarehe 1/06/2020 vyuo vinafungua? Nani yuko sahihi kati ya Serikali hizi mbili? Ni Serikali ipi inafanya siasa kati ya hizi?
 
Tutafanya utalii wenyewe. Hii serikali inaupungufu sana wa maono.

Utalii ni luxuriously good. Hakuna mtu anapesa ya kuchezea kipindi hiki na miaka kama miwili baada ya sasa.

Nchi kipindi kama hiki ilikuwa unatakiwa iangalie necessity goods. Hasa hasa mazao ya kilimo na viwanda.

Ni upumbavu uliopitiliza kufikiri utalii ndyo utafufua uchumi wetu.

Sera ya viwanda imeishia wapi? Huu ndyo ulkuwa muda wa kufufua viwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza kuwa ni watalii, au wanaweza kuwa ni watu ambao wamepata fununu za uhakika kabisa kuwa kuna kitu cha maana kimefanyika, wanakuja kuhakikisha!
 
Sijakuelewa. Yaani wanwaondoa raia wao hapa nchini kwa nia ya kuwapeleka kwenye maambukizi ya Corona? Umeisikia Serikali imesema kuwa Jumatatu tarehe 1/06/2020 vyuo vinafungua? Nani yuko sahihi kati ya Serikali hizi mbili? Ni Serikali ipi inafanya siasa kati ya hizi?
Swali la post hii sio kwanini wanawaondoa raia wao, ni hao watalii watatoka wapi kwani wao sio raia wa nchi zinazowaondoa kwetu?

Jua sababu ya kuondoa raia wao ni upungufu wetu kupambana na Korona kulinganisha na wao, seriousness yake kupigana na korona ni ndogo sana kwetu, ingawaje wao wana korona zaidi wana sheria kali na wote wanazingatia hata wale wanao punguza lockdown wanasheria kali.
 
Kuna kipindi wanaitwa mabeberu na ndio walio leta vipimo vibovu na hao wazungu ndio wanaitwa watalii sasa unakaa unawaza wew hupati jibu
Ni wakati gani wanakua mabeberu na wakati gani wanageuka watalii
Walipo sema tutaokota maiti tukawabeza walipo sema watakuja kutalii tukawaamini lakini ni wazungu walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazungu wale wale wanao ondolewa nchini na nchi zao pia.
 
Kwaio na sis kutoa raia wetu China na India ndio tuseme China ikifungua nchi watanzania hawato enda mbona mnaongea vitu vinavyo washushia hadh jaman Kwan wapi sasaiv nibsalama dunian bila kuchukua tahadhar
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?

Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao lazima wandoe watu wao kwa sababu wana malengo yao kisiasa so wanatumia corona kama mwamvuli wa kuyafanikisha malengo yao

Pumbavu tu hao wauwaji waende zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalii Waje Tanzania Wapige Nyungu, Na Compliment Ya Magome
 
Back
Top Bottom