Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Unapopewa taarifa za prediction haimaanishi lazima itokee. Unakuwa unapewa worning ili uchukue hatua. Tungeendelea bac na maisha yetu ya kawaida na shule zingeendelea tukaona cha moto.We unatishika na nini..?
Mambo mangapi yamesemwa lkn holaa!
Hao wazungu ndo walisema tutaokota mizoga!
Kuna kipindi kulizuka habari kuwa Kuna Ebola tz! Na kuna mi mtu ikawa inasema ipoipo kenge kabisa wale..
Kuna kipindi kulisemekana rais kafa lkn wapi na kama hujui kutafakari utahangaika na haya mambo mpk ukome!
Wanaokomalia mambo hayo ni walewale ila kwa kuwa mnaakili za kushikiwa ndo kwanza mnawaamini!!!
Mi kwa hayo tu yanatosha kuiamini serikali yangu maana kila kinachosemwa na hao mambo yanakuja tofauti!!... Hii ni picha kuwa serikali ndio inayojua kuliko hao wapiga kelele..
Muda ndo utaamua kuwa serikali imekosea au bado.. tutaona kama watalii watakuja au hawatakuja.
Watalii wana akili kujua korona haichagui watalii na wasio watalii.Watalii na experts ni vitu tofauti Sana
Kuna raia wa UK, USA na kwingine Wengi Tu wamegoma kuondoka
Issue ya utalii is different ingawa inaingiliana na safety and other worries in country
Most likely tutapokea a few from China, and other Asian countries while slowly getting Europeans as well
He he! Mkuu pole sana hilo ndo neno naloweza kukuambia.Unapopewa taarifa za prediction haimaanishi lazima itokee. Unakuwa unapewa worning ili uchukue hatua. Tungeendelea bac na maisha yetu ya kawaida na shule zingeendelea tukaona cha moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Time will tell who are stupid.We unatishika na nini..?
Mambo mangapi yamesemwa lkn holaa!
Hao wazungu ndo walisema tutaokota mizoga!
Kuna kipindi kulizuka habari kuwa Kuna Ebola tz! Na kuna mi mtu ikawa inasema ipoipo kenge kabisa wale.
Kuna kipindi kulisemekana rais kafa lkn wapi na kama hujui kutafakari utahangaika na haya mambo mpk ukome!
Wanaokomalia mambo hayo ni walewale ila kwa kuwa mnaakili za kushikiwa ndo kwanza mnawaamini!!!
Mi kwa hayo tu yanatosha kuiamini serikali yangu maana kila kinachosemwa na hao mambo yanakuja tofauti!!... Hii ni picha kuwa serikali ndio inayojua kuliko hao wapiga kelele.
Muda ndo utaamua kuwa serikali imekosea au bado.. tutaona kama watalii watakuja au hawatakuja.
ha ha ha ha nimepanda ndege mara nyingi hata kutumia tiketi ya mwingine, ni ubalozi tu ndiyo wanaouliza sababu ya safari yako."Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?"
Mkuu ndege sio basi la Mwanza kwamba ukikata ticket huulizwi....Kwenye Ndege kuulizwa ni lazima
Hao wazungu watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?We unatishika na nini..?
Mambo mangapi yamesemwa lkn holaa!
Hao wazungu ndo walisema tutaokota mizoga!
Kuna kipindi kulizuka habari kuwa Kuna Ebola tz! Na kuna mi mtu ikawa inasema ipoipo kenge kabisa wale.
Kuna kipindi kulisemekana rais kafa lkn wapi na kama hujui kutafakari utahangaika na haya mambo mpk ukome!
Wanaokomalia mambo hayo ni walewale ila kwa kuwa mnaakili za kushikiwa ndo kwanza mnawaamini!!!
Mi kwa hayo tu yanatosha kuiamini serikali yangu maana kila kinachosemwa na hao mambo yanakuja tofauti!!... Hii ni picha kuwa serikali ndio inayojua kuliko hao wapiga kelele.
Muda ndo utaamua kuwa serikali imekosea au bado.. tutaona kama watalii watakuja au hawatakuja.
Komenti yangu imeshajibu swali lako.Hao wazungu watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?
Ni kweli tunaweza kuona cha moto.Unapopewa taarifa za prediction haimaanishi lazima itokee. Unakuwa unapewa worning ili uchukue hatua. Tungeendelea bac na maisha yetu ya kawaida na shule zingeendelea tukaona cha moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaishi Dunia gani?Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?
Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja kwenye nchi yenye korona bila mapambano kama ya kwao? Hao watalii watakujaje wakati nchi zao zinawahimiza warudi nyumbani na kutuma ndege kuwachukua?
Shida yako nini mkuu?Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?