Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

Time will tell who are stupid.
Kuna kipindi wanaitwa mabeberu na ndio walio leta vipimo vibovu na hao wazungu ndio wanaitwa watalii sasa unakaa unawaza wew hupati jibu
Ni wakati gani wanakua mabeberu na wakati gani wanageuka watalii
Walipo sema tutaokota maiti tukawabeza walipo sema watakuja kutalii tukawaamini lakini ni wazungu walewale


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kubishana tarehe 28/05/2020 ndege za watalii zinaanza kutua hapa. Na nyungu watupigwa kama suplementary package
 
Sijakuelewa. Yaani wanwaondoa raia wao hapa nchini kwa nia ya kuwapeleka kwenye maambukizi ya Corona? Umeisikia Serikali imesema kuwa Jumatatu tarehe 1/06/2020 vyuo vinafungua? Nani yuko sahihi kati ya Serikali hizi mbili? Ni Serikali ipi inafanya siasa kati ya hizi?
 
Wanaweza kuwa ni watalii, au wanaweza kuwa ni watu ambao wamepata fununu za uhakika kabisa kuwa kuna kitu cha maana kimefanyika, wanakuja kuhakikisha!
 
Swali la post hii sio kwanini wanawaondoa raia wao, ni hao watalii watatoka wapi kwani wao sio raia wa nchi zinazowaondoa kwetu?

Jua sababu ya kuondoa raia wao ni upungufu wetu kupambana na Korona kulinganisha na wao, seriousness yake kupigana na korona ni ndogo sana kwetu, ingawaje wao wana korona zaidi wana sheria kali na wote wanazingatia hata wale wanao punguza lockdown wanasheria kali.
 
Ni wazungu wale wale wanao ondolewa nchini na nchi zao pia.
 
Kwaio na sis kutoa raia wetu China na India ndio tuseme China ikifungua nchi watanzania hawato enda mbona mnaongea vitu vinavyo washushia hadh jaman Kwan wapi sasaiv nibsalama dunian bila kuchukua tahadhar
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao lazima wandoe watu wao kwa sababu wana malengo yao kisiasa so wanatumia corona kama mwamvuli wa kuyafanikisha malengo yao

Pumbavu tu hao wauwaji waende zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalii Waje Tanzania Wapige Nyungu, Na Compliment Ya Magome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…