Ulaya ndo inabidi iongoze dunia na sio Marekani

Ulaya ndo inabidi iongoze dunia na sio Marekani

Hi jamii forums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Ulaya mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka
 
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Hawana huo ujanja bora ukasema urusi,ulaya ni washamba kama walivyo waafrika a.k.a ngozi nyeusi
 
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.

Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Ulaya wameshaatumika tayari na usa na sasa wanatupwa kama takataka tu huko ... usa akiweka vikwazo na eu nao huwa wacement hivyo vikazo ili viwe vikali hatakama vinawauniza wao wenyewe ni kama kondoo vile .. siku wakiamka njia zote za uchumi usa amezishikilia na hawawezi kuamka wakati russia na china watakuwa na mbadala na ummoja wao wa brics .. sijui watakimbilia wapi
 
Ulaya imeangushwa na Marekani wenyewe.....na wakiinuka wao Marekani inaporomoka
True lakini sio rahisi maana mifumo ya uchumi usa ndo anashikilia .. vikwazo vyao kwa nchi nyingine ndo vinawaumiza .. wao ili hali hawana resilimali ya maana .. mfano iran ni chi ya pili kwa kuwa na ges lakini ulaya wameiwekea vikwazo lukuki ges haina mbadala mpaka sasa lkin ndo usa aliwashika maskio yeye anamikiki ges ya Qatari na baada ya kuichimba anaende kuwauzia hao hao ulaya kwa bei kubwa .. kuna ujinga kama huo
 
Bandiko zuri hatutaki ulaya wala nani ulaya aongoze ulaya marekani aongoze north America ,bara africa apatiakane kinara au umoja wa Africa uwe ndio kiongozi na maamuzi ya mwisho kule eurasian russia aongoze na asia china aongoze middle east iran or turkey aongoze na south america Brazil aongozee we need multipolar world na sio unipolar world order ambayo centre ya world influence inaegemea nchi moja haiko sawa raisi wa marekani awe ndio raisi wa dunia wanachoaamua wao ndio muelekeo wa dunia hii ni muda wa kubadilika
 
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.

Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Mkoloni wako ni taifa la ulaya au Amerika?
 
Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.

Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Haki za binadamu ndio hizi wasagaji,mashoga,jinsia mbili,wanaobadili jinsia,queer??

Yaani watu wa design hiyo ndio waongoze dunia??

Na wewe ni degree holder??😀😀
 
Back
Top Bottom