Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hakuna Bara au sehemu inayotakiwa kuongoza Dunia inabidi kuwepo na checks and balances kutoka kwa wana Dunia wote i.e. Umoja wa Mataifa ambapo kila Taifa linachangia katika Uongozi huo...
Ni hao hao Ulaya ambao waligawana / walijigawia hili Bara na matatizo mengi ya sasa ni kutokana na mipaka yao waliyochora sio kulingana na kilichopo chini bali nani apate nini na wapi
Ni hao hao Ulaya ambao waligawana / walijigawia hili Bara na matatizo mengi ya sasa ni kutokana na mipaka yao waliyochora sio kulingana na kilichopo chini bali nani apate nini na wapi