chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Ulaya mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamkaHi jamii forums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Ulaya kwanzaUlaya imeangushwa na Marekani wenyewe.....na wakiinuka wao Marekani inaporomoka
Ulaya kwanzaUlaya mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka
Ulaya kwanza
Hawana huo ujanja bora ukasema urusi,ulaya ni washamba kama walivyo waafrika a.k.a ngozi nyeusiHi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Ulaya wameshaatumika tayari na usa na sasa wanatupwa kama takataka tu huko ... usa akiweka vikwazo na eu nao huwa wacement hivyo vikazo ili viwe vikali hatakama vinawauniza wao wenyewe ni kama kondoo vile .. siku wakiamka njia zote za uchumi usa amezishikilia na hawawezi kuamka wakati russia na china watakuwa na mbadala na ummoja wao wa brics .. sijui watakimbilia wapiHi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
True lakini sio rahisi maana mifumo ya uchumi usa ndo anashikilia .. vikwazo vyao kwa nchi nyingine ndo vinawaumiza .. wao ili hali hawana resilimali ya maana .. mfano iran ni chi ya pili kwa kuwa na ges lakini ulaya wameiwekea vikwazo lukuki ges haina mbadala mpaka sasa lkin ndo usa aliwashika maskio yeye anamikiki ges ya Qatari na baada ya kuichimba anaende kuwauzia hao hao ulaya kwa bei kubwa .. kuna ujinga kama huoUlaya imeangushwa na Marekani wenyewe.....na wakiinuka wao Marekani inaporomoka
wakiungana USA anakuwa kama Mwijaku ,huez elewa aseeUlaya mbele ya Marekani ni Afrika iliyochangamka
Ulaya ni dhaifu mbele ya USAwakiungana USA anakuwa kama Mwijaku ,huez elewa asee
Mkoloni wako ni taifa la ulaya au Amerika?Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Ni dhaifu kwa kuwa waliamua wenyew kuwa dhaifu bara kenye hadi sarafu yao wanashindwa vip kujiendeshaUlaya ni dhaifu mbele ya USA
Wana utegemezi flani Kwa USANi dhaifu kwa kuwa waliamua wenyew kuwa dhaifu bara kenye hadi sarafu yao wanashindwa vip kujiendesha
Haki za binadamu ndio hizi wasagaji,mashoga,jinsia mbili,wanaobadili jinsia,queer??Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.
Huo utegemezi wa usa ndo ameutengeneza na wao wakakubali .. mfano swala la sihal wao ndo wanaipa usa 2% ili watengenezewa na imekuwa hivyo miaka nenda rudi bila wao kuwa na viwanda vyaoWana utegemezi flani Kwa USA