Hi JamiiForums,
Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first.
Ina maana Us wana ubinafsi wanataka wao ndo wapate mazuri hata kama wenzao wanapitia hali ngumu.