Inakuwaje wanajamvi.
Ulaya hasa skendinevia uhakika wa kufikisha miaka 60 upo kabisa labda wewe mwenyewe uamue kujiua lakini ukiamua tu aaah mbona unagonga sikste tu kiulaini. Baada ya 60 hapo sasa ndio stress za kukacha mazimaa zinakujia
Mimi sasa hivi na 32 years bado nina uhakika wa miaka mengine 28 hapa Denmark.
Utakufaje kizembe wakati miundombinu ya hatari ipo. Muda unazingatiwa msosi wa nguvu upo sasa hivi wahamiaji kibao hadi maduka ya vyakula mbalimbali kutoka Africa na Asia vipo mihogo, dagaa, mbogaga, ngono ya kumwaga tu huitaji kulipa ni saundii tu yani unatandaza miti at will, hewa Safi, elimu safi, utawala wa sheria, kazi za kubeba boksi za kumwaga tu ni wewe kuchagua tu, makazi mazuri tu KWA NINI USIGONGE SIKSTE?
Lusungo RRONDO