JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
๐Dili la 10000 bongo dah๐๐๐๐
Kuna watu elfu kumi ni mchongo wa maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐Dili la 10000 bongo dah๐๐๐๐
Haya maisha acha tu, watu wanatoana ngeu kwa 500/-, kuna madogo wamemtoa roho mwenzao kisa 'flash'๐
Kuna watu elfu kumi ni mchongo wa maana.
Numbers dont lie, kuna kitu kinaitwa life expectancy.Hakuna uhakika huo, kifo hakina kinga muda ukifika umefika.
Huwa sikubaliani na hicho kitu mzee, kwani bongoland hakuna wanaofikisha 60? Mbona wengi tu, huko nchi za scandinavia vijana hawafi, watoto hawafi, je ni wote wanatoboa 60.Numbers dont lie, kuna kitu kinaitwa life expectancy.
Aiseee, Hapa ndo unaweza shawishiwa kuwa duniani kuna mapepo yanawaingia watu na ukajikuta unaamini.Haya maisha acha tu, watu wanatoana ngeu kwa 500/-, kuna madogo wamemtoa roho mwenzao kisa 'flash'
Wapo wanaofikisha 100 wapo wanaokufa na miezi ndio wakipiga average wanapata nchi A LE ni 60yrs nchi B LE ni 45yrs kwa maana hii nchi A wenye nafasi ya kufika 60yrs ni wengi kuliko nchi BHuwa sikubaliani na hicho kitu mzee, kwani bongoland hakuna wanaofikisha 60? Mbona wengi tu, huko nchi za scandinavia vijana hawafi, watoto hawafi, je ni wote wanatoboa 60.
Ukisema number don't lie, ni kweli sikupingi lakini hii haiprove hilo, ilibidi woote wawe wanatoboa 60+
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Magonjwa ndio yanapunguza sana urefu wa maisha yetu. Leo malaria,kesho kuhara,keshokutwa typhoid mara UTI, sasa unakunywa dawa unapona lakini figo ndio linateketea. Hapo hujazungumzia hewa chafu,lishe duni yaani kufika 60 zama hizi ni bahati sana.
[emoji16][emoji16]Bongo miaka 80 sasa hv michache tunapiga 98 sasa hv!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]Mkaldayo Bana. Ngono ndo chimbuko la mankind. Ukitaka kujua ukamilifu wa uumbaji ni pale unapomfikisha demukileleni lile yowee na mikiki wee acha tu acheni mungu aitwe mungu.
Mm nadhani kwenye swala la umri licha ya kuwa genaral hivyo, pia mtu angalia family tree yako Yani historia ya familia mfano umri mkubwa kuliko wote ni wangapi yani waliofika 60 mpaka 80 ni wangapi, vifo kwenye familia yenu ni kwanzia umri gani achilia mbali vifo vinavyo sababishwa na ajali, nadhani kwa.namna moja au nyingine unaweza jua Kama utatoboa iyo miaka 80 au 90 maana kuna wengine wachache wanafika 60 au 50 na kama upo huko jipange. Mengine hayo tumwachie Mungu na duniaInakuwaje wanajamvi.
Ulaya hasa skendinevia uhakika wa kufikisha miaka 60 upo kabisa labda wewe mwenyewe uamue kujiua lakini ukiamua tu aaah mbona unagonga sikste tu kiulaini. Baada ya 60 hapo sasa ndio stress za kukacha mazimaa zinakujia
Mimi sasa hivi na 32 years bado nina uhakika wa miaka mengine 28 hapa Denmark.
Utakufaje kizembe wakati miundombinu ya hatari ipo. Muda unazingatiwa msosi wa nguvu upo sasa hivi wahamiaji kibao hadi maduka ya vyakula mbalimbali kutoka Africa na Asia vipo mihogo, dagaa, mbogaga, ngono ya kumwaga tu huitaji kulipa ni saundii tu yani unatandaza miti at will, hewa Safi, elimu safi, utawala wa sheria, kazi za kubeba boksi za kumwaga tu ni wewe kuchagua tu, makazi mazuri tu KWA NINI USIGONGE SIKSTE?
Lusungo RRONDO
Mungu hapangiwi Oho unaweza hata 33 usifikeInakuwaje wanajamvi.

Ohahahahahah Binadamu ni wajinga sanaMkaldayo Bana. Ngono ndo chimbuko la mankind. Ukitaka kujua ukamilifu wa uumbaji ni pale unapomfikisha demukileleni lile yowee na mikiki wee acha tu acheni mungu aitwe mungu.