Ulaya uhakika wa kufikisha miaka 60 upo

Ulaya uhakika wa kufikisha miaka 60 upo

Tayari nimeshakuwin kisaikolojia na ndo hicho haswa nilikuwa naangaika na kusumbuka kutafuta.
Washamba kama wewe mmekuwa wengi sana siku hizi. Unnaandika ujinga lengo kuonyesha unaishi Ulaya. Ukweli mna maisha magumu ya kubebwa na Wazungu huko, na hampendwi kamwe. Mnabaguliwa kila mahali na ni wa mwisho kwenye jamii kwa kila kitu.
 
Dah tayari nimeshakuwin kisaikolojia.

Nyau wewe!
Hapo ulipo self-esteem/self-worth yako is next to zero ukijilinganisha na Wazungu na hata Wasyria Wahamiaji wa juzi tu huko.

Remedy ni kujilinganisha na Watanzania waliopo Tanzania.

Shika adabu dogo.
 
Cut the looooonggg shit shot
 
Huku 60s ndo tupo tumechoka choka ila we are somehow strong
Huyu jamaa akifika umri huo Nursing Home watamwacha ajinyee na kujikojolea siku nzima kwenye pampers sababu hamna mtu anataka kugusa kinyesi cha Mwafrika. Na vibao juu.
 
Magonjwa ndio yanapunguza sana urefu wa maisha yetu. Leo malaria,kesho kuhara,keshokutwa typhoid mara UTI, sasa unakunywa dawa unapona lakini figo ndio linateketea. Hapo hujazungumzia hewa chafu,lishe duni yaani kufika 60 zama hizi ni bahati sana.
Hapo hujapigiwa simu ya dili la elfu kumi ukapanda boda boda na miharaka yako ukakutana na semitrela njiani likakuvunja miguu.
 
Huyu jamaa akifika umri huo Nursing Home watamwacha ajinyee na kujikojolea siku nzima kwenye pampers sababu hamna mtu anataka kugusa kinyesi cha Mwafrika. Na vibao juu.
80% ya nursing home wafanyakazi ni waafrica
 
Watu kama wewe ni watumwa na washamba. tu. Kutwa kujisifia mnaishi Ulaya. Msenge wewe
Wewe jamaa utakuwa unashida mahali comments zako zote ni negative inabidi uwe chini ya uangalizi maalumu utakuja kuleta madhara kwa jamii
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Magonjwa ndio yanapunguza sana urefu wa maisha yetu. Leo malaria,kesho kuhara,keshokutwa typhoid mara UTI, sasa unakunywa dawa unapona lakini figo ndio linateketea. Hapo hujazungumzia hewa chafu,lishe duni yaani kufika 60 zama hizi ni bahati sana.
umesahau bodaboda
 
🤣🤣🤣🤣🤣hata hivyo tuna kinga kubwa ilibidi tuwe tumekufa at 20
 
Back
Top Bottom