Ulaya uhakika wa kufikisha miaka 60 upo

Numbers dont lie, kuna kitu kinaitwa life expectancy.
Huwa sikubaliani na hicho kitu mzee, kwani bongoland hakuna wanaofikisha 60? Mbona wengi tu, huko nchi za scandinavia vijana hawafi, watoto hawafi, je ni wote wanatoboa 60.

Ukisema number don't lie, ni kweli sikupingi lakini hii haiprove hilo, ilibidi woote wawe wanatoboa 60+
 
Wapo wanaofikisha 100 wapo wanaokufa na miezi ndio wakipiga average wanapata nchi A LE ni 60yrs nchi B LE ni 45yrs kwa maana hii nchi A wenye nafasi ya kufika 60yrs ni wengi kuliko nchi B
 
Magonjwa ndio yanapunguza sana urefu wa maisha yetu. Leo malaria,kesho kuhara,keshokutwa typhoid mara UTI, sasa unakunywa dawa unapona lakini figo ndio linateketea. Hapo hujazungumzia hewa chafu,lishe duni yaani kufika 60 zama hizi ni bahati sana.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mkaldayo Bana. Ngono ndo chimbuko la mankind. Ukitaka kujua ukamilifu wa uumbaji ni pale unapomfikisha demukileleni lile yowee na mikiki wee acha tu acheni mungu aitwe mungu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Mm nadhani kwenye swala la umri licha ya kuwa genaral hivyo, pia mtu angalia family tree yako Yani historia ya familia mfano umri mkubwa kuliko wote ni wangapi yani waliofika 60 mpaka 80 ni wangapi, vifo kwenye familia yenu ni kwanzia umri gani achilia mbali vifo vinavyo sababishwa na ajali, nadhani kwa.namna moja au nyingine unaweza jua Kama utatoboa iyo miaka 80 au 90 maana kuna wengine wachache wanafika 60 au 50 na kama upo huko jipange. Mengine hayo tumwachie Mungu na dunia
 
Mungu hapangiwi Oho unaweza hata 33 usifike
 
Mkaldayo Bana. Ngono ndo chimbuko la mankind. Ukitaka kujua ukamilifu wa uumbaji ni pale unapomfikisha demukileleni lile yowee na mikiki wee acha tu acheni mungu aitwe mungu.
Ohahahahahah Binadamu ni wajinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…