- Thread starter
- #21
Wewe soma tu hiyo article achana na maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.Sasa mbona viwanda vinafunga kwasababu gharama zimeongezeka watu hadi wanaandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe soma tu hiyo article achana na maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.Sasa mbona viwanda vinafunga kwasababu gharama zimeongezeka watu hadi wanaandamana
Sio maneno ya kwenye vijiwe na maneno ya bloombergy na news outlets kubwa kubwa duniani kuwa bei ya energy imepanda sana Ulaya kutishia production ya viwanda hadi vinafunga. Ulishuhudia raia Ufaransa wakiandamana juzi juzi tu hapa.Wewe soma tu hiyo article achana na maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Chukueni katani maelekezo mtapewa kilingeni🤑Duuh kwahiyo Sisi warusi tuliokua tunasubiri Europe wagande kwenye winter mnatuambiaje sasa[emoji848]
Wewe ndo umeudhihirisha upimbi sasaMiaka 60 kwenye Maendeleo ni michache sana pimbi wewe.
Wajinga wengi watapuuzia hiki ulichosema kati ya China na US. Balance of Trade baina ya hizi mbili hasa China ni faida kubwa saana kwake, hapa tuweke nje uwekezaji wa US na Ulaya pale China.Exactly hiki ndicho alichokuwa anatafuta US, na Russia akaingia kichwa kichwa na kuharibu soko lake la gas Europe, US ana gas nyingi sana na alikuwa anajua Europe ni soko kubwa sana na alikuwa analitaka sana lakini Russia walikuwa wamelishikiria lote, nenda Texas uone jinsi LNG terminals zinavyojengwa ambazo zitatumika kusafirisha gas kwenda Europe na nina uhakika watafanya mafuriko ya gas mpaka gas ya Russia itaonekana haina maana, juzi tuu Europe bei ya gas ilienda negative (below zero) kutokana ilikuwa nyingi kuliko mahitaji, najua warusi weusi hamkuona hilo linakuja, hao India na China watarudi tuu mstarini, China wana export more than 600 billion dollars to US ni soko kubwa sana kwao hawawezi kulipoteza kwa ajiri ya siasa za Russia, hao India ndio usiseme kila kitu wanategemea US, tukubali tuu kwa sasa kushindana na US ni kujichimbia kaburi
Hapa hali ni ngumu kushinda hiyo Ufaransa lakini hatujaandamana sasa kwa hali hiyo utasema tuko vizuri.Sio maneno ya kwenye vijiwe na maneno ya bloombergy na news outlets kubwa kubwa duniani kuwa bei ya energy imepanda sana Ulaya kutishia production ya viwanda hadi vinafunga. Ulishuhudia raia Ufaransa wakiandamana juzi juzi tu hapa.
Sisi hata hali iwe mbaya vipi hatuandamani tumeshazoea shida na mashida. Tunaongelea ulaya before and after vita ya Ukraine sio TZ mkuuHapa hali ni ngumu kushinda hiyo Ufaransa lakini hatujaandamana sasa kwa hali hiyo utasema tuko vizuri.
Ile slogan yetu ya Warusi ya "Winter is coming" tutaiweka kwa dustbinDuuh kwahiyo Sisi warusi tuliokua tunasubiri Europe wagande kwenye winter mnatuambiaje sasa[emoji848]