Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wasiojulikanaWazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani.
Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
Ngoja kwanza Afrika waibiane,kutesana,vita za kijinga,kuiga tamaduni za wengine na kuita dini,majungu nk.Mambo kama ya NATO si kiwango cha Afrika.Ilikuwepo ECOMOG sijui ilifia kaburi lipi
Hawana shida ya kulitawala hili Bara mara nyingine kwa sababu kile walichokua wanakipata huku kwa Damu na Jasho wakati ule kwa sasa wanapelekewa mpaka huko walipo kwa Bei Cheee kabisa !Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani.
Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
Hiyo sio kweli hata kidogo na kiongozi anaefikiria hivyo hana maono. Afrika inagombaniwa na ulaya, China na urusi. Usifikie kuwa kinachotoka Africa kinawafikia ulaya chote kama zamani, sasa hivi mali nyingine inakwenda China, India na urudi, na hiyo ndiyo hofu yao itakayosababisha watumie NATO kuichukua Afrika physically tena.Hawana shida ya kulitawala hili Bara mara nyingine kwa sababu kile walichokua wanakipata huku kwa Damu na Jasho wakati ule kwa sasa wanapelekewa mpaka huko walipo kwa Bei Cheee kabisa !
N.b madini, Gesi , mafuta so on and so forth !
Jopo la wachawi.Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani.
Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
Ufaransa anaililia ile Uraniam aliyokuwa akiichukua kwa bei Cheee huko Sahel !Hiyo sio kweli hata kidogo na kiongozi anaefikiria hivyo hana maono. Afrika inagombaniwa na ulaya, China na urusi. Usifikie kuwa kinachotoka Africa kinawafikia ulaya chote kama zamani, sasa hivi mali nyingine inakwenda China, India na urudi, na hiyo ndiyo hofu yao itakayosababisha watumie NATO kuichukua Afrika physically tena.
Ufaransa ameshaingia hofu hiyo hasa pale Sahel.
ipo TONAWazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani.
Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
Hatari sana nWazungu sasa hivi wanajadili namna ya kuongeza bajeti ya kutengeneza silaha nyingi na bora sisi tunadili nani atasimamia uchaguzi na nani anateka watu.
Rwanda itakuwa ya mwisho kutawaliwa Tena Afrika.
Ndivyo ilivyopangwa iwe hivyo na wale wakubwa walioanzisha hii kitu inaitwa Demokrasia ya Uchaguzi kila baada ya miaka mitano mitano !Afrika haina mipango ya kuzalisha silaha zake yenyewe na wala hakuna kiongozi wa Africa mwenye bajeti hiyo. Mbaya zaidi wanakamata hata wananchi wao wanaotengeneza magobore na kuwafunga jela badala ya kuwapa mitaji na technology. Hatuna viongozi wenye kuona hata miaka 50 mbele. Tunawaza uchaguzi Kila miaka 5 baaasi.