kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Kama nchi Moja ya Afrika ikivamiwa na ufaranza au Uingereza nchi nyingine za Africa zitaisaidiaje hiyo nchi, au mnakuwa kama nyumbu Kila mtu asubiri kukamatwa kwa wakati wake?Lengo la NATO ni nini? Unataka Afrika iwe na kitu kama NATO ili kujilinda dhidi ya nani??
Jiulize hayo maswali ya msingi kisha utapata majibu kwa nini hakuna hicho kitu.
Mambo ya ulinzi na usalama hayafanywi tu kwa kuiga na kufuata mkumbo, bali kwa kufanya tathmini ya kina ya matishio ya kiusalama uliyonayo.