Ulaya Wana NATO Afrika tuna nini?

Kama nchi Moja ya Afrika ikivamiwa na ufaranza au Uingereza nchi nyingine za Africa zitaisaidiaje hiyo nchi, au mnakuwa kama nyumbu Kila mtu asubiri kukamatwa kwa wakati wake?
 
Mkenya anajiona mzungu pori

Mtanzania kidogo ana chembe za pan africanism

Afrika magharibi wanawaza Ufaransa 24/7

Afrika kasikazini wanajiona waarabu zaidi

Hizi nchi unaziunganishaje?
 
Wenzetu wanayo ajenda ya kudumu kuhusu nchi zao ambayo haitegemei utashi ww mgombea au chama cha siasa. Sisi Kila mgombea ndani ya chama hichohicho anakuja na agenda yake. Ajenga ya kudumu ya chama ni kuhakikisha kuwa chama hakishindwi uchaguzi kwa gharama yoyote Ile.
 
Mkenya anajiona mzungu pori

Mtanzania kidogo ana chembe za pan africanism

Afrika magharibi wanawaza Ufaransa 24/7

Afrika kasikazini wanajiona waarabu zaidi

Hizi nchi unaziunganishaje?
Akina Tunubu hawana habari, wako tayari wamsaidie Macron ampige Ibrahim Traure kule Burkina Faso.
 
Kama nchi Moja ya Afrika ikivamiwa na ufaranza au Uingereza nchi nyingine za Africa zitaisaidiaje hiyo nchi, au mnakuwa kama nyumbu Kila mtu asubiri kukamatwa kwa wakati wake?
Je tishio hilo ni halisi kwa kiwango gani?
 
Umemaliza πŸ™πŸ™ŒπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…