Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

Na tutarajie hivi karibuni, bunge la ulaya litapitisha azimio la kupiga stop bwawa la Mwl Nyerere huko Stigler's gauge na kututaka tulifukie mara moja kwani sehemu hiyo ni urithi wa dunia.
 
Ni nani MMILIKI wa hayo Mafuta na Gesi? Tuelezee hapa tujue mgawanyo wa mapato yanayotokana na mauzo ya hayo mafuta. Nchi ya Uganda inapata asilimia ngapi na Wageni wavunaji wa hayo Mafuta wanapata asilimia ngapi kwa kila Pipa la Mafuta?
Uelewa wangu ni kwamba Asilimia 90 inaenda Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…