Ule msemo wa "akili atatumia zangu" bado unafanya kazi??

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Wakuu salaam......
Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz....

Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na uzuri ni basi inatosha πŸ˜†
Wengi walilinganisha uzuri wa big nyanshiiiii.....fire waist 😜😜😜

Vice verse is true kina dada na nyie vipi mwanaume akiwa handsome bila pesa mnamkubali???? Vipi dada ukipata sampuli ya hivi kama hapa chini ????

Majibu ya Ke tafadhali nasubiri hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Attachments

  • Screenshot_20240503-035214_Instagram.jpg
    93.1 KB · Views: 5
Aisee huu ujinga usiungie, mke ni kwa ajili ya familia.... watafutie wanao mlezi mzuri kuliko shepu huo ni ubinafsi.
 
Bora kuwa na mke asiyekuwa na ana wowowo kuliko kuwa na much know alafu hana wowowo asilimia kubwa utaishia kumchoma moto.
 
'Nitaoa mwanamke mkali akili tutatumia zangu' unakuta mwanaume nae hana akili hahaa
Kumiliki pisi kali na ikadumu na wewe lazima uwe na akili ya ziada😁
 
"β€ŠKe" much know wana boa sana! Na hiyo haitegemei kwamba ni mzuri au lah! Bora uchukue pisi kali ya tamanio yako kuliko uopoe polygon alafu akazingua! Uzuri wa mwanamke unaficha kuzingua! Nina jirani yangu ana mke pisikali mkia kama wote! Sasa jamaa anasema shida ya mke wake ni uvivu! Hawezi kufanyakazi yoyote ya ndani hata kutandika kitanda ni shida! Njemba anasema ndo huwa anatandika kitanda lakini haimsumbui kwasababu anajua baada ya hapo anapiga mbususu kwa kujipimia!
 
Mwanaume mwenye hofu ya Mungu, na muwajibikaji atosha. Hao wengine ni kujitafutia jaka la roho
 
Wanaume wenyewe sikuhizi akili hawana🫒🫒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…