Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!