Ule Muungano wa BRICS kiboko ya Mabeberu, unapumulia mashine. Unakaribia kuvunjika..

Rais wa China asingeweza kuhudhuria kwasababu chama chake CCP kipo katika mpango wa kumtimua.

Rais Xi muda huu hana mamlaka ya Jeshi la China na tayari ameshapokonywa Wizara ya police na usalama wa Taifa.

Rais Putin nchi yake ipo vitani safari za mara kwa mara ni ngumu sana upande wake.Ikumbukwe tayari ipo hati ya kimataifa ya kukamatwa.

Ni mapema sana kuanza kuidharau BRICS.

Ngongo kwasasa Brazil.
Hapo kwa President Xi umetupanga
 
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa

Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE

Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.

Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..

Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine

Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria

Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran

Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Ila Jf siku hizi imejaza wehu
 
Rais wa China asingeweza kuhudhuria kwasababu chama chake CCP kipo katika mpango wa kumtimua.

Rais Xi muda huu hana mamlaka ya Jeshi la China na tayari ameshapokonywa Wizara ya police na usalama wa Taifa.

Rais Putin nchi yake ipo vitani safari za mara kwa mara ni ngumu sana upande wake.Ikumbukwe tayari ipo hati ya kimataifa ya kukamatwa.

Ni mapema sana kuanza kuidharau BRICS.

Ngongo kwasasa Brazil.
Hizi habari kuhusu Xi umepatia wapi mkuu ?
 
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa

Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE

Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.

Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..

Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine

Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria

Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran

Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Yaani ugomvi uuanzishe wewe kisha Nchi nyingine isiyopenda ugomvi iingilie ugomvi wako Yaani inunue kesi. Hahaha mie nilipoona Iran kaingia kwenye hicho chama nikajua mrengo utabadilika tu
 
Hizi habari kuhusu Xi umepatia wapi mkuu ?
Tatizo lenu mnatazama TBC ambayo ipo kwaajili ya kumsifu Bi Tozo.
Rais Xi mwisho wake ni mwezi August 2025.
Majeneral wake wote wamefurushwa jeshini
Udhibiti wa Jeshi la China upo chini ya Vice Chairman General Zhang Youxia.

Mashirika makubwa ya ujasusi duniani yamesha chakata taarifa za kupoteza ushawishi ndani CCP.
 
Kwanini usiweke link ya hiyo habari tujisomee wenyewe
 
Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa

Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE

Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.

Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..

Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine

Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria

Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran

Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Tuliwaonya tukaitwa wapenda migongo.
 
Tatizo lenu mnatazama TBC ambayo ipo kwaajili ya kumsifu Bi Tozo.
Rais Xi mwisho wake ni mwezi August 2025.
Majeneral wake wote wamefurushwa jeshini
Udhibiti wa Jeshi la China upo chini ya Vice Chairman General Zhang Youxia.

Mashirika makubwa ya ujasusi duniani yamesha chakata taarifa za kupoteza ushawishi ndani CCP.
Unamfahamu Chairman wa Central Military Commission ni nani ?

Bado hujajibu swali langu habari kuhusu Xi umepatia wapi ? Au unafikiri unaye fuatilia siasa za kimataifa ni wewe peke yako na kichwa chako nchi nzima na dunia nzima
 
Back
Top Bottom