Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Huyu aliwaacha maswahiba wa West?Saudi Arabia
Uko sahihi mkuu kwa asilimia kubwaUkiachana na hilo la uhasimu wao na nchi za Magharibi, Nchi za BRICS hazina itikadi wala maslahi inayowaunganisha, ni kama kachumbari ya mchangayiko wa mawe, maembe, maparachichi, nazi, kabeji
Kuna nchi za demokrasia ya kiliberali, kuna nchi za kimomunisti, kuna nchi za kiislam, kuna nchi za kifashiti yaani ni vululu vululu. Mfano unakuta kuna nchi mwanamke haruhusiwi kuongea mbele ya mwanaume ila kuna nchi nyingine kiongozi wake mkuu ni mwanamke..!🤣🤣
Tofauri na nchi za West ambazo zote unakuta itikadi na culture zao zinafanana
Mshenzi wewe 🤣🤣🤣Ukiachana na hilo la uhasimu wao na nchi za Magharibi, Nchi za BRICS hazina itikadi wala maslahi inayowaunganisha, ni kama kachumbari ya mchangayiko wa mawe, maembe, maparachichi, nazi, kabeji
Kuna nchi za demokrasia ya kiliberali, kuna nchi za kimomunisti, kuna nchi za kiislam, kuna nchi za kifashiti yaani ni vululu vululu. Mfano unakuta kuna nchi mwanamke haruhusiwi kuongea mbele ya mwanaume ila kuna nchi nyingine kiongozi wake mkuu ni mwanamke..!🤣🤣
Tofauri na nchi za West ambazo zote unakuta itikadi na culture zao zinafanana
Maskini hawezi ungana na tajiri akitegemea tajiri ampinge tajiri mwenzie. Iran, Egypt SA ni maskini tu. China Russia they can't risk it all to abandon the west world.Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Kwani wewe tatizo lako ni nini hasa - naona unakuwa concern kwamba labda Dollar za Kimerican zinatopeza umuhimu wake kimataifa no hilo tu mengine unachapia tu - kwani kuna dhambi gani baadhi ya mataifa yakijikusanya na kutafuta/buni mbinu mbadala za media of exchange, kitu kingine hakuna popote shirikisho hilo linasema lengo lao la pili nikutaka kuanzisha ushirika WA kijeshi kama wa NATO, hakuna - wao lengo lao nila kiuchumi zaidi kuliko kijeshi - ni hilo.Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa
Huku ikiongeza wnachama wengine kama Saudi Arabia, Iran, Egypt, Ethiopia na UAE
Mwaka Jana muungano kulikuwa na mbwembwe nyingi kuwa muungano huu utakuwa kiboko ya nchi za Magharibi aka mabeberu (Marekani, Ulaya magharibi, Japan) kwa kuwa unazalisha zaidi ya nusu ya mafuta yote duniani, una idadi ya nusu ya watu wote duniani na uchumi wake dunia ni karibia nusu yote.
Na pia walikuwa wapo mbioni kuanzisha sarafu mpya ya BRICS ambayo ingekuwa ni muarobaini wa dola ya Marekani..
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
Kwanza kikao cha BRICS kinachofanyika Brazil wiki hii, Rais wa China na Rais wa Urusi ambao ndio member wenye nguvu zaidi hawatahudhuria
Pia kingine kumekuwa na malalamiko kutoka nchi za Iran na Egypt kuwa muungano huo umeshindwa kuonyesha umoja kwenye vita ya Israel huko Gaza na uvamizi wa Israel huko Iran
Members wengine wanaona umoja huu ni kama wa kupotezeana muda..!
Russia Ina vikwazo hivyo hawezi kufanya biashara na hao west.Maskini hawezi ungana na tajiri akitegemea tajiri ampinge tajiri mwenzie. Iran, Egypt SA ni maskini tu. China Russia they can't risk it all to abandon the west world.
Uko sahihiKwani wewe tatizo lako ni nini hasa - naona unakuwa concern kwamba labda Dollar za Kimerican zinatopeza umuhimu wake kimataifa no hilo tu mengine unachapia tu - kwani kuna dhambi gani baadhi ya mataifa yakijikusanya na kutafuta/buni mbinu mbadala za media of exchange, kitu kingine hakuna popote shirikisho hilo linasema lengo lao la pili nikutaka kuanzisha ushirika WA kijeshi kama wa NATO, hakuna - wao lengo lao nila kiuchumi zaidi kuliko kijeshi - ni hilo.
Ila tayari haujamaliza hata miaka miwili tangia waupanue tayari unapumulia mashine
(in south africa president 's voice)😀😄Mshenzi wewe 🤣🤣🤣
Bricks tupo imara kuliko jana
Kwani nani kasema mkataba wa kiulinzi?Ulienzisha Uzi huu hunanupeo wa kufuatilia mambo ya kidunia....unaandika usichokijua kisa tu imepata taarifa vijiweni....BRICS Haina mikataba ya ulinzi kama NATO.....fuatilia kwanza ndo uteletee info zilizokamilika.....
Ni kama G7 hivi, lakini huwezi kuta kiongozi wa nchi mojawapo ya G7 anaogopa kwenda kwenye summit ya G7 kwenye nchi nyingine kisa eti anaogopa kukamatwa na polisi wa hiyo nchi rafiki....Putin anazuiwa na ICC kwa hiyo yeye kuwakilishwa na mjumbe maalum ama waziri ni kawaida
XI hata kwenye baadhi ya mikutano ya G20 huwa anatuma mjumbe.
Muungano wa BRICS si kama NATO hauna mkataba wa ulinzi wa pamoja wala kauli moja ya lazima kwenye siasa za kimataifa.
Rais wa China asingeweza kuhudhuria kwasababu chama chake CCP kipo katika mpango wa kumtimua.Ule Muungano wa BRICS unaohusisha nchi waanzilishi za Brazil, Russia, India, China na South Africa